Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ufai kuwa mkeKama unafikiri unaitaji mke soma Post zangu za nyuma
Nimetoa nafasi tena njoo pm
Vipi wewe unafaa kuwa mke?Kama unafikiri unaitaji mke soma Post zangu za nyuma
Nimetoa nafasi tena njoo pm
Tuma link ya hizo post za nyuma wengine wageni humu jukwaani tumejiunga leoKama unafikiri unaitaji mke soma Post zangu za nyuma
Nimetoa nafasi tena njoo pm
Kwani we unatakaje?Wanajaribu wengi wao
Watuchosha, tunakuja hata hujisumbui kutupokeaKama unafikiri unaitaji mke soma Post zangu za nyuma
Nimetoa nafasi tena njoo pm
Mie vigezo vyote ninavyo, ila naona kuna vingine nivifanyie amendment kidogo.Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume
Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa
Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe
Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike
Karibu inbox
Asantee
Yaweza kuwa..Vyuma vyuma