trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Ungetuma kwanza matumizi ya mtoto wala nisingehangaika na wewe. Sasa hivi msimu wa maembe unauza pale sokoni tenga 3 zinaisha unashindwa nini kulea mwanao??So unataka nianze hangaika na hawa wa huku duniani? Hawa wanazingua sana...sitaki kabisa. Watu kama akina trudie mi sitaki shida tena aisee....wacha nijitunze tu
Sitakuacha kwamwe ukutane na hao mabikra 60 utakomaa na mie hapa....you are stuck with me duniani na huko