Sitaki hangaika na wanawake wa huku Duniani. Wale wa kule ni Wazuri na wote naanza nao mwenyewe

Ni mabikra kwa kwenda mbele, na mito inayotiririsha pombe,

Kwaiyo mtu unaoga huku unakunywa pombe, ukijigusa bikra huyu apa.
Sheikh wangu kipozeo alisisitiza hili tembo tena kwa kinywa kipanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Loh
Serikali idhibiti inflation.

Hali hii inawakumba wengi kutokana na sonona
 
Luka 20:34-36.
Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
 
Naomba niulize swala hili inachukua mda gani kwa mwanamke mjamzito kusex na mwanaume wake baada ya kujifungua
 
Wanaume tumeumbwa kupenda wanawake na wanawake wameumbwa kupenda urembo chukua wanawake 10 waweke kwenye room moja yenye wanaume 70 wenye sifa za kila aina dunia hii upande wa kulia na wa kushoto weka urembo wa kila aina dunia hii kisha mwambie achagua upande anaotaka aumiliki.

Weka kundi la wanawake 70 wenye sifa ya kila aina upande wa kulia na upande wa kushoto weka urembo wa kila aina kisha mwambie mwanaume achague upande anaotaka aumiliki jibu unalo pia chief.

All in all peponi kila mtu atapewa kila atakachotamani .
 
Naomba niulize swala hili inachukua mda gani kwa mwanamke mjamzito kusex na mwanaume wake baada ya kujifungua
nenda hospitali iliyoko karibu nawe ukapate ushauri wa kiafya hilo tatizo ni kubwa sana ndugu yetu
 
Naomba niulize swala hili inachukua mda gani kwa mwanamke mjamzito kusex na mwanaume wake baada ya kujifungua
Baada ya siku 40 kama mwili wake umepona na anajisikia yupo comfotable anaruhusiwa kusex. Ila ndio inabidi awe makini maana inakuwaga gusa unate sekunde kubeba mimba nyingine. Miili imetofautiana mwingine anapona haraka mwingine anachelewa so msikilize yeye anajisikiaje.
 
Lakini si ulisema haujawahi kukutana na Chizi Maarifa, kumbe mlishapelekeana hadi moto??

Ila nawashauri mmalize tofauti zenu, ili mumlee chizi Maarifa mdogo trudie
 
Lakini si ulisema haujawahi kukutana na Chizi Maarifa, kumbe mlishapelekeana hadi moto??

Ila nawashauri mmalize tofauti zenu, ili mumlee chizi Maarifa mdogo trudie
Simfahamu mkuu, ila naona anapenda sana kunichokoza instead of kukasirika nimeona bora niungane nae tuu ajisikie raha. Maana wanasema chizi akikuibia nguo usimkimbize uchi utaonekana ww ndio chizi bora uchutame.
Kama hapa alitaka nianze kupanick tujibizane ila nimemjulia naenda nae sambamba.
 
Umenifurahisha Sana, Kuna msemo niliambiwa "cheza ndanj ya mfumo" hutojutia
 

[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenifurahisha Sana, Kuna msemo niliambiwa "cheza ndanj ya mfumo" hutojutia
Najuta kwanza hata kupoteza muda kubishana nae trying to prove simjui while ni fake IDs.....i choseto join him ndani ya mfumo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kaka unataka ugomvi na watu 🤣🤣🤣🤣😂😂Kwahiyo Mungu anakupa wanawake 60 ufanye nao mapenzi style zote???????Sasa swali na wanawake watapewa wanaume 60 au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…