Sitaki hangaika na wanawake wa huku Duniani. Wale wa kule ni Wazuri na wote naanza nao mwenyewe

Kwahiyo wanawake peponi wakitamani mihogo ya jangombe (Tafsida) watapewa kwa mujibu wa allah?????
 

Hivi hao wa mbinguni nao watakuwa wanasikia maumivu wakati nitakuwa nawatoa hizo bikra?.
 
Naomba niulize swala hili inachukua mda gani kwa mwanamke mjamzito kusex na mwanaume wake baada ya kujifungua
Siku 40 japo Kwa wenzangu na mimi wenye hamu zao hawafikishi na pia inategemea na mwili Wa mhusika na huduma nzuri aliyopewa baada ya kujifungua
 
Afu utakula na kulala saa ngapi, kama 24/7 utakuwa unakwichi kwichi
 
Si mpaka uende huko peponi
 
Ukisoma Bible utaona priorities za mzungu aliyeandika bible ziliko.
Ukisoma Quran tukufu utaona priorities za muarabu aliyeandika Quran tukufu ziliko.

Kupitia Quran tunaona jinsi muarabu anavyopenda chini.
Aliyetunga Quran alijua mbususu ndo kitu pekee ya kudanganyia watu waache maasi kwa ahad watazikuta 60 Firdaus.
Mbususu 60???!!!
Kwa hiyo mbali ya kunyanduana na mbikra 60 kuna kipi kingine cha kufurahisha tutakachofanya peponi?
Na kama mtu ana uwezo wa kuishi na mabikra 60 hapa duniani si tayari anakua keshaiishi pepo?
Hizi din zetu ukitumia ubongo utaishia kuwa mpagan tu.
 
Asantee sana trudie
 
Wanawake wa duniani nao kama walikua wacha mungu ambao watafaulu kupata pepo basi huko peponi watakua wapya mabikira na watakua wazuri kuliko wanawake wa peponi na kama waume zao nao wamejaaliwa kuipata pepo basi watakutanishwa tena peponi kama mke na mume tena japo mwanaume atakua na wanawake wengine lkn hio haitakua shida kwakua huko ile hali ya dunuani wivu kutokutosheka hamna tena yaani ni raha tupu katika kila kitu...na kama hajaolewa basi atapata mwaume kijana wa peponi na maisha ya raha yataendelea yaani huko ni raha tu unapata kila unachotaka yaani ukiwaza tu kinakuja hamna kuzeeka wote vijana

Allah anajua zaidi

naomba Allah atujaalie tuwe katika hao wataojaaliwa pepo
 
Kwaio unadhani vyote vilivyoumbwa dunia viliumbwa bure ikiwa pamoja n ww yaani mama yako akuzae kwa tabu uje duniani ukute bahari mbingu mvua jua usiku mchana alf uishi unavyotaka ww kwamba hamna anaemiliki hii dunia na wala hamna sheria na ukifa ndio mwisho wa maisha yako inaingia akilini kabisa.....ikiwa binadam tu ambae anamiliki vitu ambavyo ataviacha hawezi kukupa kitu bure bure wala kukuacha uishi kwenye nyumba yake bila mashart mfano umekuta nyumba inafull funiture unaweza kuingia ukaishi tu unavyotaka uvuruge uchafue alf uondoke unaweza kufanya ivyo bila kujikuta kwenye kesi ...

Huo ndio mfano wa dunia my friend angalia mbingu na ardhi na vilivyomo avijaumbwa bure hata huo mwili ulionao nao unatii amri ndio mana huwezi kuzuia haja au unavyoumwa upo kwenye ibada sasa ww jidanganye na nafsi yako kwamba binadam anauwezo wakuishi atakavyo hahhahhaa my dear hapa duniani tutalipia kila tulichofanya kama kizuri au kibaya kuna malaika wanaandika sisi atuwaoni wanatuhesabia na baada ya kufa ndio maisha ya milele yanaendelea na matendo yako ndio yatayokupeleka motoni milele au peponi milele ...usijidanganye my friend ikiwa duniani tu hapa kuna hukumu ya kua jela au kunyongwa alf useme hivi vilivyodunia avijikutocost ishi ukijua kila unalofafanya baya au zuri malipo yake yapo hapa dunian na kesho akhera na mmliki wa hii dunia ameshatuma sheria zake na ameshatahadharisha kuna kiumbe cha motoni kinataka kuingia na nyinyi motoni kwaio katika maisha yetu tunatakiwa tuishi tukijua kuna maisha baada ya haya ...safari bado ndefu sana my friend kazaaaaaaaa mtii alikuumba ukaishi maisha mazuri ya milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…