Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Tuombe uzima Insha Allah ili pale yatakapokuwa kinyume nione utasingizia nini Mtani. Maana Wacongo si watu wazuri.
Kwa ninavyojua mimi ni kuwa wakongo wamekuja kuungana na wakongo wenzao wa pale bwawani kwa ajili ya kufungua bendi ya muziki ni hayo tu mtani.
 
MMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? 😜

Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. 😜😜
Any means zitakazotumika ni zile zilizotumika kuwafunga nkana..alhaly...js saoura..mbabane hapo taifa ambao mlikuwa mnawashangilia hivihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…