Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Wakikujibu nitag Mkuu. 👂👂👂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikujibu nitag Mkuu. 👂👂👂
Mwenzenu kanusurika kuchukuliwa mkeHuruma ya nini wakati Wananchi tupo zaidi ya Ngangari.
Haba na Haba ipo siku itajaza kibaba.
Hamnazo yule na sio peke yake hata na huyo Mke naye ni hamnazo.
Kwel nyie sigara kaliWakikujibu nitag Mkuu. [emoji101][emoji101][emoji101]
Kwa ninavyojua mimi ni kuwa wakongo wamekuja kuungana na wakongo wenzao wa pale bwawani kwa ajili ya kufungua bendi ya muziki ni hayo tu mtani.Tuombe uzima Insha Allah ili pale yatakapokuwa kinyume nione utasingizia nini Mtani. Maana Wacongo si watu wazuri.
Ndo mlivyoHamnazo yule na sio peke yake hata na huyo Mke naye ni hamnazo.
Hahahaaa. Hebu hukoo.
Jumamosi itaongea kila kitu Mtani.Kwa ninavyojua mimi ni kuwa wakongo wamekuja kuungana na wakongo wenzao wa pale bwawani kwa ajili ya kufungua bendi ya muziki ni hayo tu mtani.
Hamuelewek mko upande upiHahahaaa. Hebu hukoo.
Mnataka wote tuwe Simba tu. [emoji3]
Ina maana kumbe nachat na mtu ambaye hata hajui mechi itachezewa wapi?Sasa Mkuu mechi za CAF zote umecheza kwa Mkapa?
Ni wale wachache tena wale wakaaji wa Vijiweni ndio akili zao hizo na katika timu ya Wananchi wanahesabika.
Kiaje wakati nyie ndio hamueleweki.
Subiri jumamosi ujionee Bingwa wa nchi atakavyo mparua mkongo.Hivyo Mtani Kule Misri, Congo na Juzi Algeria hakukuwa kwa wanaume? 😳😳😳
Hahaaaa. Hizi ingia toka ndio tafsiri ya kwamba Mtani unajua nini mlikipata na ndio sababu unajisahaulisha.Ina maana kumbe nachat na mtu ambaye hata hajui mechi itachezewa wapi?
Ewaaaaa. Jumamosi ifike tu Mtani.Subiri jumamosi ujionee Bingwa wa nchi atakavyo mparua mkongo.
Unashangaa magoli 12 wakati Yanga alipigwa magoli 19 ? Au unadhani database imefutika?...Au kisa umepigwa zile Twelve basi unadhani habari zenu hatunazo.
Any means zitakazotumika ni zile zilizotumika kuwafunga nkana..alhaly...js saoura..mbabane hapo taifa ambao mlikuwa mnawashangilia hivihiviMMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? 😜
Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. 😜😜
Nilijua hujapaona pale nilipoandika 12 kumbe ulipaona Mtani. Aiseeeee.Unashangaa magoli 12 wakati Yanga alipigwa magoli 19 ? Au unadhani database imefutika?
View attachment 1044530
Mwaka gani hiyo kwani? 😎😎Unashangaa magoli 12 wakati Yanga alipigwa magoli 19 ? Au unadhani database imefutika?
View attachment 1044530
Let's wait and see Mtani. Kama zitakuwa na nafasi safari hii. Japo hujazisema ndio zipi.Any means zitakazotumika ni zile zilizotumika kuwafunga nkana..alhaly...js saoura..mbabane hapo taifa ambao mlikuwa mnawashangilia hivihivi