Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi huyu ni janga na mkosi mkubwa kwa taifa letu.
Tuliwaonya huyu ni dikteta, mkafikiri udikteta utaishia kubagua wapinzani.
Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukianza huachi.
Magufuli kasema bila aibu kwamba atamkata mtia nia yeyote, si kwa katiba, si kwa miongozo, si kwa taratibu, si kwa utamaduni,bali kwa jinsi takavyojisikia alivyoamka siku hiyo.
Yani kasema wazi yeye ni dikteta.
Kuna vikao ya kumfukuza Membe, anasema hajapeleka mjadala kwenye kikao aliogopa mjadala wa kikao, kamaliza habari mwenyewe katangaza tu. Haoni hata aibu.
Huyu dikteta ataiharibu sana hii nchi.
Je,ulipiga kura Ya Ndiyo au hapana?Niko ukumbini ndiyo tunatoka sasa
Tuache UchademaSiwezi kujibu hoja ya Mwanachadema anaejifanya CCM
AMANDLAH.Ni vyema kama ni kushiriki kupiga kura watu wahimizwe kwenda na silaha za jadi. Ila kwenda kupiga kura kama wanaenda kwenye nyumba za ibada ni utani. Uchaguzi wa safari hii kama wapinzani wamekubali kushiriki chini ya tume hii, wajiandae kwa machafuko zaidi kuliko kinyume chake.
Mi nawaza kuanzia januari 2021 hali itakavyokuwa mbaya
Watu wameona live kwenye Tv huyu mtoa mada analeta uongo na upuuzi wa kijinga.
Zama zimebadilika kutoka zile za chama kushika hatamu mpaka kufikia za sasa za Mwenyekiti Taifa wa Chama Dola kushika patamu. Zama zile za vikao vya chama kuwa na sauti kubwa hata kuwa na uwezo wa kuruhusu mgongano wa mawazo ama kuwekana sawa sasa umotoweka!Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Ndiyo nimempa lkn siyo kwa hiari yangu. Kwa kuogopa figisu.hapo inaonyesha hata na ww umempa kura ya ndio kubwa!!
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi hinafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya ccm. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Ya ndiyo. Kuogopa figisuJe,ulipiga kura Ya Ndiyo au hapana?
Wewe shemale huwa ni chadema Acha kudanganya watuNdiyo nimempa lkn siyo kwa hiari yangu. Kwa kuogopa figisu.
Kwa makusudi kabisa vinafanywa visiwe na uhuru wa kuamua lolote.Udiktena hauletwi na raisi bali unaletwa na vyombo vya dola bila vyombo vya dola hakuna dikteta maaana hata akisema fanyeni hivi vyombo vya dola mahakama na bunge vikikataaa huwez endelea kuwa raisi ivo udikteta huletwa na vyombo vyote vya ulinzi bunge na mahakama
Mwenzenu kaanza kufumbuka macho, msikilizeni kwa upole, mtaelewa.Wewe shemale huwa ni chadema Acha kudanganya watu
It like all the party leaders around have been "castrated".Amechukua form peke yake. Wengine wakafungiwa milango.
Wakati wa kumpitisha, katibu mkuu bila aibu anasema katiba inataka wagombea watatu, ila aliyechukua form ni mmoja tu. What a joke!
Madictator huwa wanapata kura 100%.