Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Jibu hojaLini umehama CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hojaLini umehama CHADEMA?
Kwa hiyo mtoa mada ameongea nini cha maana hapo? Ccm ni kawaida kumuachia mgombea aliefanya vizuri amalizie ngwe iliyobaki na imekuwa taratibu yao zaidi ya miaka 36. Mtoa mada anawapangia Ccm wakati ni utaratibu wao? Kura alitaka zipigwe vipi? Kura zimepigwa kwa uwazi na kuhesabiwa kwa uwazi. Sasa alitaka nini zaidi? Anaongea pumba na upuuzi tu.Na wale wenzio vichwa ngumu watakiri tu, ngoja akili ziwakae sawa, bado wako usingizini.
Cc.
drone camera.
chagu wa malunde.
Anawachezesha kwata lakini wanamsifia tu, sijui wamelogwa na nani!.
Silaha ya jadi kwenye kupiga kura sio issue, issue ni kwenye kumtangaza mshindi.
Juzi tu hapa umeogopa kuandamana na shati jeupe. Ukabaki kuandamana kwenye keyboard. Chadema kufilisika kihoja isiwe sababu ya kuhamasisha upuuzi.Ni vyema kama ni kushiriki kupiga kura watu wahimizwe kwenda na silaha za jadi. Ila kwenda kupiga kura kama wanaenda kwenye nyumba za ibada ni utani. Uchaguzi wa safari hii kama wapinzani wamekubali kushiriki chini ya tume hii, wajiandae kwa machafuko zaidi kuliko kinyume chake.
Bila shaka wewe ni mnufaika wa ubabaishaji unaoendelea ndani ya chamaKwa hiyo mtoa mada ameongea nini cha maana hapo? Ccm ni kawaida kumuachia mgombea aliefanya vizuri amalizie ngwe iliyobaki na imekuwa taratibu yao zaidi ya miaka 36. Mtoa mada anawapangia Ccm wakati ni utaratibu wao? Kura alitaka zipigwe vipi? Kura zimepigwa kwa uwazi na kuhesabiwa kwa uwazi. Sasa alitaka nini zaidi? Anaongea pumba na upuuzi tu.
We kiazi soma mchakato wa kura ulivyoendeshwa na mwenyekiti wenu, wacha kukurupuka.Kwa hiyo mtoa mada ameongea nini cha maana hapo? Ccm ni kawaida kumuachia mgombea aliefanya vizuri amalizie ngwe iliyobaki na imekuwa taratibu yao zaidi ya miaka 36. Mtoa mada anawapangia Ccm wakati ni utaratibu wao? Kura alitaka zipigwe vipi? Kura zimepigwa kwa uwazi na kuhesabiwa kwa uwazi. Sasa alitaka nini zaidi? Anaongea pumba na upuuzi tu.
Jibu hoja
Muonyesheni jinsi ya kiyafanya kwa usahihi huko chademaAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Hawako sawa nadhani wana magonjwa mtambukaNa wale wenzio vichwa ngumu watakiri tu, ngoja akili ziwakae sawa, bado wako usingizini.
Cc.
drone camera.
chagu wa malunde.
Anawachezesha kwata lakini wanamsifia tu, sijui wamelogwa na nani!.
Kwa hiyo mtoa mada ameongea nini cha maana hapo? Ccm ni kawaida kumuachia mgombea aliefanya vizuri amalizie ngwe iliyobaki na imekuwa taratibu yao zaidi ya miaka 36. Mtoa mada anawapangia Ccm wakati ni utaratibu wao? Kura alitaka zipigwe vipi? Kura zimepigwa kwa uwazi na kuhesabiwa kwa uwazi. Sasa alitaka nini zaidi? Anaongea pumba na upuuzi tu.
Sio kwamba wanaccm hawaujui ukweli huu, ila wanakaa kimya maana wanajua pia bila madaraka ya huyo mwenyekiti, hata wao kutangazwa washindi itakuwa ngumu. Uzuri hata mwenyekiti mwenyewe wa ccm anajua fika bila kutumia madaraka yake vibaya, ccm hawawezi kutangazwa washindi. Ndio maana hakuna mwanaccm anataka kusikia kitu kiitwacho tume huru ya uchaguzi.
Hapo walipo wanaccm wanaomba usiku na mchana wapinzani wasusie uchaguzi. Wanajua fika iwapo wapinzani watakaza kushiriki huu uchaguzi, watatumia nguvu kubwa kujitangaza washindi, hali itakayoliacha taifa hili na mgawanyiko mkubwa, na sifa mbaya ya utawala wa mabavu.
Mwaka huu ni kichekesho. Mtaongea kila uongo. Sasa hao wagombea wenu ambao hata udiwani hawawezi kupata unadhani wana Ccm wasingepiga kura zote kwa JPM kwa mambo anayofanya?Huna ujualo, unadhani zile kura kupigwa pale ndio ilikuwa maamuzi ya pale? Inaonekana hujui mifumo ya kidictator inafanya vipi kazi. Ole wa mkoa wowote ambao ungepiga kura ya hapana, mbona wangempata aliyepiga hiyo kura. Uwezo wako wa kuelewa mambo naujua mpaka wake.
Juzi tu hapa umeogopa kuandamana na shati jeupe. Ukabaki kuandamana kwenye keyboard. Chadema kufilisika kihoja isiwe sababu ya kuhamasisha upuuzi.
Ccmshana jrAsante. Na wengi hawajafurahishwa hasa kwa hoja namba 2 na 4 zitakiacha chama ktk hali mbaya Sana. Watu tuko pamoja ktk chama lkn hatuna umoja. Muda utasema
Mkuu wapinzani wa hii nchi hawana nia ya kweli kwa sababu suala la tume huru walishauriwa tangu 2016 lakini wakatia pamba sikioni imebaki miezi michache bado wanakumbushwa lakini hawana hiyo nia ya kudai mbaya zaidi misimamo hawana..hujui wanapigania nini.
Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa nchii anateua tume ya uchaguzi yeye na aliwaambia wakurugenzi amewateua yeye,amewapa mshahara,gari,nyumba na posho yeye ole wao wawatangaze wapinzani lakini bado wapinzani tupo kama Nyumbu tunaenda kupigana mazingira hayo.