Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Naliona anguko la magufuli baada ya kutoka madarakani.sijui ataiweka wap sura yake
 
Mgambo wanaruka na kukanyagana wanaruka kinyama....wanajutaaaa.!

*Mwenyekiti amechaguliwa kwa 100% ya kura 1822 ya wajumbe wote wa mkutano mkuu.!

hapo inaonyesha hata na ww umempa kura ya ndio kubwa!!
 

Aharibu mara ngapi
 
AMANDLAH.
Hakuna kurudi nyuma hii ni nchi yetu wote. Wote tukapige kura SAFARI HII tumuone wa kutunyang'anya HAKI.
 
Zama zimebadilika kutoka zile za chama kushika hatamu mpaka kufikia za sasa za Mwenyekiti Taifa wa Chama Dola kushika patamu. Zama zile za vikao vya chama kuwa na sauti kubwa hata kuwa na uwezo wa kuruhusu mgongano wa mawazo ama kuwekana sawa sasa umotoweka!

Sasa kosa ama msamaha wa kosa ni hutokana na hisia za Mwenyekiti na pia inategemea ameamkaje siku hiyo. Sanamu waliyoiunda wao wenyewe imepata uhai na kugeuka jitu la kutisha na lenye kuwadhuru wao wenyewe.

Kauli ya Rais Mstaafu Mwinyi ya kutaka aongezewe japo miaka mingine mitano ni kibwagizo tu cha wimbo mrefu ambao wenye kupasa kuucheza ni makada wenyewe. Kupitia maamuzi yake CCM Zanzibar tayari wameshapata dozi yao na wajumbe wao wakitoka vichwa chini na huzuni tele. Sasa ni zamu ya kuliwa vichwa kwa wabunge mliokwisha maliza muda wenu, mjiandae kisaikolojia mpate kuwapisha wateule wenye kukubalika mbele ya macho ya Mwenyekiti.
 
 
Kwa makusudi kabisa vinafanywa visiwe na uhuru wa kuamua lolote.
 
Kiujumla vyama vya upinzani mwaka huu vina khari Mbaya sana.

Huku jpm
Huku mwinyi
Huku Samia suruhu
Huku majariwa!!!!?

Vibwagizo vya wanamziki wte!!!
Sijajua mbunge wa upinzani atakae rudi bungeni.
 
Amechukua form peke yake. Wengine wakafungiwa milango.
Wakati wa kumpitisha, katibu mkuu bila aibu anasema katiba inataka wagombea watatu, ila aliyechukua form ni mmoja tu. What a joke!
It like all the party leaders around have been "castrated".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…