Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

CCM Mpya hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Kilichobaki ni upinzani kufanya kama inajitoa kwenye uchaguzi uone CCM watakavyo pigana ngumi kugombania bafasi/ teuzi
 
Hongereni na siasa zenu sisi huku tunapanga kwenda kuishi sayari za mbali nyie mnampango wa kwenda magogoni

Wahisani
 
Huo ndiyo ukweli mchungu, ambao wanaccm wote lazima muujue
 
Na wale wenzio vichwa ngumu watakiri tu, ngoja akili ziwakae sawa, bado wako usingizini.

Cc.
drone camera.
chagu wa malunde.

Anawachezesha kwata lakini wanamsifia tu, sijui wamelogwa na nani!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kumsahau bia yangu.. mgonjwa mtambuka..yehova..mama ntilie wa kawe..sumve ..jinga lao .. Rutashobya na team nzima ya b7 fc
 
Kwani CCM bado ipo? maana hata kwenye kampeni wanasema chagua -----------,CCM haitajwi kabisa.
 

Mkuu una akili sana. Siwezi Amini kama ungekuwa mwanaccm ungefanya tofauti. Kwanini wavunje utaratibu. Interest yenu hasa Ni Nini. Akili Ni pamoja kutumia mazingira yako kutatua changamoto. Kwa hali ya Sisi watz. Usanii. Maneno mengi. JPM NI THE RIGHT CANDIDATE. Labda kama nyie Ni waganda.
 

Ahhhh. Mkuu unacommitt intellektuelle suicide. Either Acha Siasa au Nenda CHADEMA kule ni Full Demokrasia.
 
Nyie maccm wazee wa kulishana sumu , mlimfanya nini Makamu Mwenyekiti wenu mzee Mangula ?
 
Si kila mtu ana akili za kuchuja mambo kabla ya kuyatoa kinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…