Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Haya mambo yapo sana..wasio amini lazima watabeza.

Fanya lililo sahihi dear.

Mungu hawatupi walio wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sisi itakuaje Sasa
Ninyi mnaoachwa mtende dhambi pasipo kuadhibiwa sasa hivi mmetengewa adhabu yenu ya kwenye "ziwa la moto". Ndugu yangu ogopa sana tena sana ukiona unatenda dhambi halafu hupati matatizo yoyote.
 
Hawezi kukuelewa[emoji1787][emoji1787]
 
Dada mweleze tu kwa hekima kuwa mnachofanya akimpendezi MUNGU, maana mnafanya uzinzi, na uzinzi ni chukizo kwa MUNGU.
Na ili mfanikiwe inawabidi mumfuate MUNGU.
Sawa,nitamueleza akiona itamfaa atachagua njia sahihi,Mungu ni zaidi ya uzinzi.
 
Ndio unayopitia mkuu,naletewa ndoto kuhusu swala la uzinzi mpk nkaletewa mstari unasema mwenye masikio na asikie mathayo 13:9 na ni baada yakupuuzia mnoo,swala la linarudisha nyuma kiroho,Unatoka katika uwepo wa Mungu kabsa.
 
Mkuu si bora angekuwa bikra ndo afanye ivo tungemuelewa.
Umeambiwa wanaokoka au kuzaliwa upya ni mabikra tu?Mungu alikuja kuwaokoa wenye dhambi na sio wasafi na ndio maana aliketi na makahaba,watoza ushuru,Na msalabani alikufa kwa sabbu ya sisi wenye dhambi.Natamani ungepata neema kama yangu ukamjua Mungu,Mimi pia nlikuwa kama wewe mpinga ishu za dini,See me Now naamua kuacha uzinzi kumtii Mungu,Naacha uzinzi sabbu nmeokoka.
 
Thank you mamy,God over everything.
 
Umeongea vema,ila sijasema nnaeomba nae ndie nnaeshiriki nae zinaa.Nmesema kuhusu kuombewa kuwa,kuna mda mtu unasaidiwa kuombewa kama ambavyo wachungaji wanatuongoza Ibada.Napokea iyo baraka ulitoninenea ya kusoma neno la kulielewa,Amen.
 
Kwani kusali ndio nini? hao wanaosali wanapiga uno mbaya kabisa hukuona lile uno la gwaji boy wakati anakula kondoo wake hatari sana wakati anakaribia kufika Golgota alitoa mlio wa ajabu kama ule wa Simba wakati anakula nyama ya swala pala, kimsingi kunyanduana ndio mpango mzima wee kalaghabaho na sala zako
 
Mungu akusamehe na hili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…