Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Pole...

Ila msiwe mnakamatwa na wachungaji au kuogopa kwenda kanisani eti ni tatizo.

Kanisa/ibada ya mtu ni yeye binafsi..ukishaweza kuepuka madhambi ya kidunia na kujiombea mwenyewe nina imani hautaweza kuwa na imani na mtu.

amani ya Kristo ikutawale.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Na ukimpa ujue ndoa ndio kwishnei
 
Na kama umeamua kuacha acha kabisa na ufunge milango yote unayoweza kuikaribisha hiyo dhambi ndani yako..

Lakini pia usiogope ikitokea umeteleza Mungu wetu ni wa Rehema ukitubu anasamehe, usiogope mchungaji akikwambia Mungu amekukasirikia
Sawa mkuu,Mungu ni mwingi wa rehema,hata ivo amenisamehe sana,sikustaili kupiganiwa nae.
 
Amen.
 
Bila kuombewa na nabii na mtume mwenyewe (tena kwa kulipishwa pesa) hutoboi yaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Ukristo unapita katika kipindi kigumu sana!
 
Na nyie wa kanisani muwage na msimamo siyo sitaki nataka....utaishia kubeba mimba
 
Walokole mna tabia ya kumakinikia sana dhambi ya uzinzi utafikiri ndiyo dhambi pekee iliyopo. Hata ukiacha uzinzi, hizo dhambi nyingine huzitendi? Unazishika amri zote 10 za Mungu sawasawa au umekazania tu hii ya uzinzi kwa vile umeambiwa ndiyo lango ambalo shetani anataka kuingilia.

Yote kwa yote maamuzi yako ni mema na kama kweli umeamua kuwa celibate na kuacha madhambi yote mengine utaishi kwa amani sana na mambo yako yatanyooka mno. Na Mungu Atakuletea mtu atakayekuelewa msinyanduane mpaka baada ya ndoa japo ni kubahatisha sana!
 
uzinzi haunaga ulokole, ndio mana hata kama umeokoka huwezi lala chumba kimoja na asiye mkeo.

hapo utakuwa anashona shati na kuchana

amua moja - shona shati lako tulia
 
Yan kwenye kuzini utesekage wew tuu....?dunia nzima watu wanazin na maisha yanaendelea..wengne wanazin waziwaz.nje nje..diamond anazini kila kukicha na mambo mazur tu...hebu toka kwenye kifungo hicho....huyo mchungaj anaekupa maneno hayo siajab nae ni mzinifu...gwaj boy had video anazo...

Enewei..usichkulie serious ndugu..nademka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…