pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Nilijua anatunza bikra yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Game Changer and The Entertainer.
yupo kwenye mtiani mzito sana ubaya wa haya mambo je atakuwa really through out her whole life au itakuwa sometimes tu
Mapenzi ni pamoja na penzi sasa mapenzi bila penzi si mapenzi tena
Tulia kijana ....Je dhambi nyingine zote pia umeziacha?
we mwanamke au mwanamme?Habari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma wote primary na alikuwa ananipenda toka primary na baadae huku ukubwani, ila imetokea tumedate mwaka huu.
Mimi ninasali na mwenzangu sio kiivo japo hajawahi kunipa changamoto za mimi kumtafuta Mungu. Nilipoanza nae mahusiano ghafla nkaona kama narudi nyuma kiroho (nimepitia mengi mpaka kujiconnect zaid na Mungu na ndio ilikuwa pona yangu)
Nilirudi nyuma kiroho nikawa namiss mambo mengi ya kanisani japo hakuwahi nizuia. Niseme tu nilirudi nyuma na vita nilivyokuwa napitia mwanzo vilirudi kwa kasi. Nikamuomba anipe space maana nilishindwa kubalance Mungu na mapenzi(alikuja moto maana kunipata aliona kama nini sijui).
Tukaaa week akaniomba kuwa nimpe nafasi atajitaidi kuweka chachu ya mimi kusali, nikarudi tena. Ikaenda nikawa napitia mambo mengi kiroho na kila siku kanisani naombewa na nikaambiwa mlango unaowapa nafasi Adui ni Uzinzi. Nikaletewa ndoto kuhusu uzinzi unavonilostisha(wanaojua mambo ya kiroho wanaelewa) nikaamua kusikiliza na kuacha uzinzi.
Nilichojia hapa ni kuwa niongee vipi na mwenzangu aelewe kuwa sipo tayari kuzini, maana mtu asiyesali ataona kama nachekesha. Asiwaze namuacha kwa sababu nyingine ila sina sababu zaidi ya hiyo.
Ningeweza kusema labda aamue kama ananioa au vipi ila katika story sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumforce wala kumwambia unioe lakini sitaki kuzini. Naombeni ushauri niongee nae vipi.
Ukiona huna ushauri pita tu, Kuna watu wajuaji sana HUMU.
.siku akikujibu unipe taarifa Mkuu manake mpaka naandika hapa huyu ndugu yetu hakuwa ametoa majibu ya maswali yako ambayo ni yetu pia, kuna swali moja hapo umemuuliza akijibu tu ntakuja kutapika maushauri yangu..Una umri gani?!
Wazazi wako, wote wapo hai au mojawapo, kama wote wapo hai je wanaishi pamoja?!
Unaishi mkoa gani?!
Mpo wangapi kwenu?!
Una elimu kiwango gani?!
Unajishughulisha na nini?!
Huyu kijana na yeye upande wake ukimjibia haya maswali yupo vipi?!
Ukiyajibu haya maswali kwa pande zote mbili, then nitaweza kukupa picha.
Mpeni kaisali yaliyo yake kaisali pia Mpeni Mungu yaliyo yake MunguHabari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma wote primary na alikuwa ananipenda toka primary na baadae huku ukubwani, ila imetokea tumedate mwaka huu.
Mimi ninasali na mwenzangu sio kiivo japo hajawahi kunipa changamoto za mimi kumtafuta Mungu. Nilipoanza nae mahusiano ghafla nkaona kama narudi nyuma kiroho (nimepitia mengi mpaka kujiconnect zaid na Mungu na ndio ilikuwa pona yangu)
Nilirudi nyuma kiroho nikawa namiss mambo mengi ya kanisani japo hakuwahi nizuia. Niseme tu nilirudi nyuma na vita nilivyokuwa napitia mwanzo vilirudi kwa kasi. Nikamuomba anipe space maana nilishindwa kubalance Mungu na mapenzi(alikuja moto maana kunipata aliona kama nini sijui).
Tukaaa week akaniomba kuwa nimpe nafasi atajitaidi kuweka chachu ya mimi kusali, nikarudi tena. Ikaenda nikawa napitia mambo mengi kiroho na kila siku kanisani naombewa na nikaambiwa mlango unaowapa nafasi Adui ni Uzinzi. Nikaletewa ndoto kuhusu uzinzi unavonilostisha(wanaojua mambo ya kiroho wanaelewa) nikaamua kusikiliza na kuacha uzinzi.
Nilichojia hapa ni kuwa niongee vipi na mwenzangu aelewe kuwa sipo tayari kuzini, maana mtu asiyesali ataona kama nachekesha. Asiwaze namuacha kwa sababu nyingine ila sina sababu zaidi ya hiyo.
Ningeweza kusema labda aamue kama ananioa au vipi ila katika story sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumforce wala kumwambia unioe lakini sitaki kuzini. Naombeni ushauri niongee nae vipi.
Ukiona huna ushauri pita tu, Kuna watu wajuaji sana HUMU.
Yani unasema kama hana mpango wa kukuoa na bado unaendelea nae na papuchi unampa???Na kama umeamua kuacha acha kabisa na ufunge milango yote unayoweza kuikaribisha hiyo dhambi ndani yako..
Lakini pia usiogope ikitokea umeteleza Mungu wetu ni wa Rehema ukitubu anasamehe, usiogope mchungaji akikwambia Mungu amekukasirikia
Njia unayoitafuta ni kumwambia Uwongo tu weweHabari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma wote primary na alikuwa ananipenda toka primary na baadae huku ukubwani, ila imetokea tumedate mwaka huu.
Mimi ninasali na mwenzangu sio kiivo japo hajawahi kunipa changamoto za mimi kumtafuta Mungu. Nilipoanza nae mahusiano ghafla nkaona kama narudi nyuma kiroho (nimepitia mengi mpaka kujiconnect zaid na Mungu na ndio ilikuwa pona yangu)
Nilirudi nyuma kiroho nikawa namiss mambo mengi ya kanisani japo hakuwahi nizuia. Niseme tu nilirudi nyuma na vita nilivyokuwa napitia mwanzo vilirudi kwa kasi. Nikamuomba anipe space maana nilishindwa kubalance Mungu na mapenzi(alikuja moto maana kunipata aliona kama nini sijui).
Tukaaa week akaniomba kuwa nimpe nafasi atajitaidi kuweka chachu ya mimi kusali, nikarudi tena. Ikaenda nikawa napitia mambo mengi kiroho na kila siku kanisani naombewa na nikaambiwa mlango unaowapa nafasi Adui ni Uzinzi. Nikaletewa ndoto kuhusu uzinzi unavonilostisha(wanaojua mambo ya kiroho wanaelewa) nikaamua kusikiliza na kuacha uzinzi.
Nilichojia hapa ni kuwa niongee vipi na mwenzangu aelewe kuwa sipo tayari kuzini, maana mtu asiyesali ataona kama nachekesha. Asiwaze namuacha kwa sababu nyingine ila sina sababu zaidi ya hiyo.
Ningeweza kusema labda aamue kama ananioa au vipi ila katika story sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumforce wala kumwambia unioe lakini sitaki kuzini. Naombeni ushauri niongee nae vipi.
Ukiona huna ushauri pita tu, Kuna watu wajuaji sana HUMU.
🏃Mkuu vita naijua na nnajua na yametokea mengi sana mpaka mimi kusali,Niliomba ushauri jinsi ya kumwambia mwenzangu kuwa sihitaji uzinzi.
Ukweli MtupuAiseee! Hongera sana kwa Kusali! Sali zaidi Mungu atakupa chaguo lako, Mungu anajua nani atakufaa zaidi.
Usimlazimishe mtu ambaye hakuelewi!
😂😀Una umri gani?!
Wazazi wako, wote wapo hai au mojawapo, kama wote wapo hai je wanaishi pamoja?!
Unaishi mkoa gani?!
Mpo wangapi kwenu?!
Una elimu kiwango gani?!
Unajishughulisha na nini?!
Huyu kijana na yeye upande wake ukimjibia haya maswali yupo vipi?!
Ukiyajibu haya maswali kwa pande zote mbili, then nitaweza kukupa picha.
😂😀Unapoomba ushauri kwenye social media expect kila aina ya reply. Kwahiyo usiwatishe watu wakati mwenye shida ni wewe. Huu ndiyo ushauri wangu.
Acha uzinzi. Mwambie mfunge ndoa ndiyo mfanye sex (marital sex). Kama hataki achana naye. Pia, acha uzinzi kabisa la sivyo huwezi kumwomba Mungu wakati huohuo uko kwenye uzinzi. Naomba pia nikuulize kitu. Kwani huko makanisani lazima mtu fulani akuombee?Kwani hamuwezi kujiombea wenyewe?Au Mungu wenu anasikia tu endapo utaombewa na mdhambi mwenzio?All the best
😂😂😂😂pengine anajipa moyo atabadilika tuYani unasema kama hana mpango wa kukuoa na bado unaendelea nae na papuchi unampa???
Kuchakatwa wakati anasali si nidhambi hiyo kabisaAisee pole Sana . Mbona mwenzetu shetani anakutesea sehem muhimu hivo..... Au ulisha wahi shiriki madhabau za kichawi na kujiwekea nadhiri juu ya papuchi yako.....? Mbona wengine wanapukuchuana na hakuna tatizo .
Ushauri wangu Anza kuanza kujua kwa nini wewe upo hivo na hayo mavitu uliyatoa wapi uyarudishe uendelee kuchakatwa Kama wengine