Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Natamani ningetoa ushauri kwa njia ya sauti asee,..haya mambo hasa ya kiroho si mambo rahisi rahisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameokoka wap anamegwa kama kawa sikuhiz kuna kuokoka au watu wanatumia kimvuli cha uokovu kufanya yaoNdio,Mungu mbelembele kama Tai.
Walau kwa kifupisho unamaana ya kuwa?Natamani ningetoa ushauri kwa njia ya sauti asee,..haya mambo hasa ya kiroho si mambo rahisi rahisi...
[emoji3][emoji3][emoji3] au jamaa ashakula tunda kimasihara..Vitu vingine vinachekesha yan umesha zini nae muda huu eti staki kuzin sindio utoto huo mm nilijua ww ni bikra
Swali namba moja.Wewe ni bikra?
Kumbe!Je unampenda kabla ya hayo yote?
Kams jibu ni ndio basi usione shida kumwambia ukweli aamue yeye.
Kama humpendi basi kazia hapo hapo hiyo sababu ushamtafutia. Mwambie kwa nguvu kubwa......kuzini ni dhambi mimi staki tena[emoji6] coz jibu unalo kuwa hakuwazii ndoa.
Wanawake tunajuana wenyewe.
Habari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma wote primary na alikuwa ananipenda toka primary na baadae huku ukubwani, ila imetokea tumedate mwaka huu.
Mimi ninasali na mwenzangu sio kiivo japo hajawahi kunipa changamoto za mimi kumtafuta Mungu. Nilipoanza nae mahusiano ghafla nkaona kama narudi nyuma kiroho (nimepitia mengi mpaka kujiconnect zaid na Mungu na ndio ilikuwa pona yangu)
Nilirudi nyuma kiroho nikawa namiss mambo mengi ya kanisani japo hakuwahi nizuia. Niseme tu nilirudi nyuma na vita nilivyokuwa napitia mwanzo vilirudi kwa kasi. Nikamuomba anipe space maana nilishindwa kubalance Mungu na mapenzi(alikuja moto maana kunipata aliona kama nini sijui).
Tukaaa week akaniomba kuwa nimpe nafasi atajitaidi kuweka chachu ya mimi kusali, nikarudi tena. Ikaenda nikawa napitia mambo mengi kiroho na kila siku kanisani naombewa na nikaambiwa mlango unaowapa nafasi Adui ni Uzinzi. Nikaletewa ndoto kuhusu uzinzi unavonilostisha(wanaojua mambo ya kiroho wanaelewa) nikaamua kusikiliza na kuacha uzinzi.
Nilichojia hapa ni kuwa niongee vipi na mwenzangu aelewe kuwa sipo tayari kuzini, maana mtu asiyesali ataona kama nachekesha. Asiwaze namuacha kwa sababu nyingine ila sina sababu zaidi ya hiyo.
Ningeweza kusema labda aamue kama ananioa au vipi ila katika story sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumforce wala kumwambia unioe lakini sitaki kuzini. Naombeni ushauri niongee nae vipi.
Ukiona huna ushauri pita tu, Kuna watu wajuaji sana HUMU.
yupo kwenye mtiani mzito sana ubaya wa haya mambo je atakuwa really through out her whole life au itakuwa sometimes tuAs long as umeshajua kinachokulostisha ni uzinzi, na huyo ulienae hana muelekeo wa ndoa na hakuelewi sababu zako za kukataa uzinzi basi ni simple achana nae Mungu atakuletea mtu sahihi, na kama itakua ndie Mungu aliekupangia basi atarudi na atakuelewa
Alafu ushajua huwezi uzinzi, before hujaingia kwenye mahusiano mueleze mtu kabisa afanye machaguzi ya kubaki au kuondoka akiwa anajua msimamo wako, vinginevyo
Usiyachochee mapenzi mpaka yatakapoona vema yenyewe
Tulia babuJukwaa la wazinzi
Je dhambi nyingine zote pia umeziacha?Sawa mkuu,mwanzo sikuichukulia hii dhambi kama inaweza nifarakanisha na Mungu,kwa sasa nmetambua na ndio maana nmeamua kuiacha.
Mkuu mambo mengine ni utoto unajiita mlokole umezin kabla ya ndoa saiz eti unasema hutak kuzin tena nina hasira nao hawa kuna manzi mmoja nilimsotea kinoma kama miez sita mm nikajua kikombe mm ndio takivunja alikua ananiambia hawez kufanya bila ndoa siku moja akaachia kuweka mpini ukazama nilishangaa sana[emoji3][emoji3][emoji3] au jamaa ashakula tunda kimasihara..
Baharia huyu huyu anayemkazia alishapita naye. Bikra itoke wapi? [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wewe ni bikra?
But you're conscious. Make personal prayers and God will "personally" listen to you. Unfortunately, wakristo hata biblia hamuisomi mkaielewa. Had you read it well, msingekuwa mnaibiwa namna hiyo ya sijui maombi etc etc. Ndiyo maana bible yenu inawaambia msinywe pombe but you guys drink. It forbids you to eat pork but mnafakamia tu. Anyway, all the best katika maombi yakoTunajiombea wenyewe,ila kuna mda mtu anashindwa kuomba kutokana na hali atakayopitia wakati uo.Ndio maana Mungu alisema,popote mtakapokusanyika kwa jina langu,ntakuwepo.Alimaanisha huwezi kuomba peke yako.