Sitaki tena kupaa angani

Aisee mi kwenye kugonga vitafunio hata offisini ndo napataka,sh ngapi kujifunza???
 
ningekua na uwezo hata usingizi nisingeutaka sipendi kulala yaani kuwa out of my mind napenda kuwa na akili zangu timamu wakati wote

sipendi mauza uza napenda kujielewa kila mara
nakushangaa mtoa mada mpaka ukajifunza kupaa UMEPATA FAIDA GANI ZAIDI YA KUJITIA UCHIZI

na mpwa wangu mshana jr ukishaweza kupotea alafu?
kama ni njia ya kuongeza kipato bila kumdhuru mtu sawa,ila kujitia uchizi na kujitoa ufahamu ni tatizo

EMBU FATILIA MWISHO WAKE UKOJE je ni mzuri au mbaya
 
Last edited by a moderator:

Jivunie kwa hili kisha jiendeleze
 
Saundi zingine bana! Halafu wabongo wanazipenda!
 

Mpwangu wala usijali hizi nguvu ni faida tupu takufundisha basics
 
Last edited by a moderator:

Utafuatiliaje bila kuujua mchezo?!!
 
Shetani anawatumia binadamu na vibaraka vyake majini katika kuwavuta wengi katika himaya yake. Mambo haya mwanzo yalijulikana kama uchawi ila sasa kutokana na maendeleo ya kisayansi and everything at large tunayaona kama ni ya kawaida. Kiukweli haya ndio mambo ambayo yanamuhusu Mungu na maraika zake tu na hakutaka hata binadamu tuyafahamu kwasababu hatutayatumia katika njia sahihi zaidi ya mabaya na machukizo mbele zake.
Hizi ni zama za mwisho na shetani anajitahidi sana kuwavuta wengi kupitia maendeleo na kupanua knowledge za wanadamu ili wayachukulie haya mambo ni kawaida and we deserve to have this knowledge.
Angalieni ndugu zangu, mtoa mada amekili mwenyewe kuwa anataka kuacha na kumfuata Mungu. Sasa la kujiuliza kwamba yuko tayari kumjua Mungu na kumfuata that means aliyokuwa akiyafanya ni mambo yanayomhusu shetani katika kukufanya umchukie Mungu nawe uwe chukizo mbele za Mungu. Be aware of it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…