Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Aisee mi kwenye kugonga vitafunio hata offisini ndo napataka,sh ngapi kujifunza???
 
ningekua na uwezo hata usingizi nisingeutaka sipendi kulala yaani kuwa out of my mind napenda kuwa na akili zangu timamu wakati wote

sipendi mauza uza napenda kujielewa kila mara
nakushangaa mtoa mada mpaka ukajifunza kupaa UMEPATA FAIDA GANI ZAIDI YA KUJITIA UCHIZI

na mpwa wangu mshana jr ukishaweza kupotea alafu?
kama ni njia ya kuongeza kipato bila kumdhuru mtu sawa,ila kujitia uchizi na kujitoa ufahamu ni tatizo

EMBU FATILIA MWISHO WAKE UKOJE je ni mzuri au mbaya
 
Last edited by a moderator:
af kuna muda nikimkumbuka tu mtu nakuwa kama ninamwita ama anipigie simu ama aje anitembelee dk chache mbelen
hali hii imenifanya kila nikitaka kumuona mtu basi nasema akilin mwangu funan anipigie kweli atapiga

nimewaza hii ni aina gani ya supernatural power nikaamua kwenda kuisoma ndipo nilipogundua ni aina mojawapo ambayo ina deal zaid na utoaji wa amri zisizo na mashaka ndani yake na kinachofanya yatekelezeke ni ile imani kwamba nisemapo hivyo huwa sina kubadilika ama kuwaza zaid ya kuona litatendeka tuuu.

kuna nguvu kubwa sana katika kuamini jambo bila kuwepo na hata chembe ya shaka na huu ndio ufungua mkubwa sana kwenye kupata mengine unayotaka kupata.

majuzi nilijisemea nimechoka kufanya kazi ninapofanya nataka nibadili taasisi. i just sat down and say it inside me bila wasiwasi kabisa. next day i was called kwenye meeting nikakutana na watu tofauti tukaongea nikasema nataka nibadili kazi huwez amini niliambiwa njoo kwetu mtu wa aina yako ameondoka so kuna vacant position. nilienda bila hata interview nikapewa nafasi.

hivi toka mwez huu wa 3 niko kwenye kazi taasisi tofauti. kisa hiki kinanifanya nione kwamba imani ndio ufunguo w ahaya yote. na ukiwa na imani tayari unafungua hata usivyoweza kudhani. mie kila nilitakalo huwa naliona kwa positive mind tu since nigundue hayo na ile positivity ina ni drive kwenye good ends always

Jivunie kwa hili kisha jiendeleze
 
ningekua na uwezo hata usingizi nisingeutaka sipendi kulala yaani kuwa out of my mind napenda kuwa na akili zangu timamu wakati wote

sipendi mauza uza napenda kujielewa kila mara
nakushangaa mtoa mada mpaka ukajifunza kupaa UMEPATA FAIDA GANI ZAIDI YA KUJITIA UCHIZI

na mpwa wangu mshana jr ukishaweza kupotea alafu?
kama ni njia ya kuongeza kipato bila kumdhuru mtu sawa,ila kujitia uchizi na kujitoa ufahamu ni tatizo

EMBU FATILIA MWISHO WAKE UKOJE je ni mzuri au mbaya

Mpwangu wala usijali hizi nguvu ni faida tupu takufundisha basics
 
Last edited by a moderator:
ningekua na uwezo hata usingizi nisingeutaka sipendi kulala yaani kuwa out of my mind napenda kuwa na akili zangu timamu wakati wote

sipendi mauza uza napenda kujielewa kila mara
nakushangaa mtoa mada mpaka ukajifunza kupaa UMEPATA FAIDA GANI ZAIDI YA KUJITIA UCHIZI

na mpwa wangu mshana jr ukishaweza kupotea alafu?
kama ni njia ya kuongeza kipato bila kumdhuru mtu sawa,ila kujitia uchizi na kujitoa ufahamu ni tatizo

EMBU FATILIA MWISHO WAKE UKOJE je ni mzuri au mbaya

Utafuatiliaje bila kuujua mchezo?!!
 
Shetani anawatumia binadamu na vibaraka vyake majini katika kuwavuta wengi katika himaya yake. Mambo haya mwanzo yalijulikana kama uchawi ila sasa kutokana na maendeleo ya kisayansi and everything at large tunayaona kama ni ya kawaida. Kiukweli haya ndio mambo ambayo yanamuhusu Mungu na maraika zake tu na hakutaka hata binadamu tuyafahamu kwasababu hatutayatumia katika njia sahihi zaidi ya mabaya na machukizo mbele zake.
Hizi ni zama za mwisho na shetani anajitahidi sana kuwavuta wengi kupitia maendeleo na kupanua knowledge za wanadamu ili wayachukulie haya mambo ni kawaida and we deserve to have this knowledge.
Angalieni ndugu zangu, mtoa mada amekili mwenyewe kuwa anataka kuacha na kumfuata Mungu. Sasa la kujiuliza kwamba yuko tayari kumjua Mungu na kumfuata that means aliyokuwa akiyafanya ni mambo yanayomhusu shetani katika kukufanya umchukie Mungu nawe uwe chukizo mbele za Mungu. Be aware of it
 
Back
Top Bottom