Sitaki tena kupaa angani

Unajinyima maarifa bila sababu

Mshana Jr, kumbuka darasa la meditation nimelipitia lakini yanayoletwa hapa ni zaidi ya wengi wanavyojua. Huu ni uchawi totally, something that I can't advice my fellow wafundishwe coz hasara ni nyingi sana kuliko faida.
 
Mshana Jr, kumbuka darasa la meditation nimelipitia lakini yanayoletwa hapa ni zaidi ya wengi wanavyojua. Huu ni uchawi totally, something that I can't advice my fellow wafundishwe coz hasara ni nyingi sana kuliko faida.
fyddell ni sahihi kabisa unachokisema lakini amini usiamini tunachokifahamu hapa duniani ni robo tu ya yale yaliyoko kwenye ufahamu wa ulimwengu huu

Mimi nimejifunza mengi ya hatari na ya kutisha kuliko hili la kupaa, tena mengine ndani ya hizi dini zetu

Nimesoma kuanzia uchawi wa mazingaombwe rahisi kabisa 'kukopea' na chuma ulete mpaka yale mabaya kabisa ya kusali na kufanya ibada za kishetani

Kikubwa ni kwamba sijabadilika na nimekuwa muumini na mcha Mungu mzuri zaidi, mimi huwa natamani maarifa fulani nione vile inafanyika halafu basi sifanyi muendelezo

Sijisifu ila nafahamu mengi yaliyoko kwenye inner world or simply hidden world, ulimwengu uliofichika ulimwengu wa giza

Nyumba tunamoishi, barabarani misituni baharini kwenye majengo marefu kuna vitu vya ajabu kutisha na kuogofya mno! Ukiwa na hizi elimu its so fascinating how you communicate/interact with them

Binafsi na kwa uwazi kabisa napenda kujifunza hayo maarifa ya kupaa nilishafanya zamani nataka nijaribu tena kama nilikuwa na diploma nahitaji degree sasa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TRIPLE H hebu mjibu FaizaFoxy kuhusu majimbo uliyotaja kama miji kabla hatujaamua kuamini post yako. Maana kama umesoma Canada, lazima hivyo vitu vidogo ungevijua... La sivyo ni uongo.

Hiyo post namba 112 huyo TRIPLE H haijibu hiyo kwa sababu haijibiki, niliouweka ni ukweli na yeye amedanganya.

Baada ya kusoma hiyo nyuzi nikagunduwa kuwa mwisho wa siku siku itaishia kwenye kuokoka na kanisani kama si yeye basi kitachomoza kidudu mtu na post nyingine ya kuleta hayo na huyo TRIPLE H ataunga mkono.

Unajuwa wengine hawa kudanganya ndiyo imani yao.
 
Last edited by a moderator:

Ajiitae TRIPLE H ni muongo, kadanganya, kasome post yangu namba 112 ujuwe kuwa huyo ni muongo.
 
Last edited by a moderator:
Ajiitae TRIPLE H ni muongo, kadanganya, kasome post yangu namba 112 ujuwe kuwa huyo ni muongo.

FF siwezi kupingana nawe au kukubaliana naye moja kwa moja ninachongalia ni je najifunza kitu!?
 
Last edited by a moderator:
FF siwezi kupingana nawe au kukubaliana naye moja kwa moja ninachongalia ni je najifunza kitu!?

Upingane nami tena? na niliouleta ni ukweli? utachokipinga ni nini kwangu na ni ukweli mtupu? na utaanzia wapi? basi unashindwa hata kupingana na anaeleta uongo wa wazi kabisa na hata nilipoubainisha bado wewe unasema unajifunza!

Unajifunza uongo?

Amma kwa hakika mnazidi kuyakinisha kuwa hata hizo shule mlisomea ujinga ndipo hata mnadiriki kujifunza uongo. Sikushangai, ni wale wale.
 

Wewe mshana jr hakuna anayeweza kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja lazima mmoja atakuwa kivuli tu, yaani nazidi kukuogopa jamani hapa nilipo natetemeka mbaya sijui kwanini nimekuquote......... Honey Faith njoo uone maajabu ya huyu rafiki yetu......
 
Last edited by a moderator:
umesema kweli, wengi wanaanzisha mada ili baadae igeuke mahubiri, au kutangaza dini yao!
 
TRIPLE H....hao ndugu zako walijuaje hiyo khabar yako kama si sifa zako.?! Na unasema ukilala tu unasafiri mbona wamo humu wanayaweza hayo lakini wanasafiri kwa kuamua na si kwa lazima.? Au huyo mwalim wako hakukufunza vyema.? Na kama unafika kupambana katika safari zako wewe itakuwa ni mchawi safi kabisa.wasio wanga wala.! Maana ya kuwa wewe ni mwanga sasa umechoka kwavile hakuna kuwanga bure.biashara umeisotea mwenyewe halafu unakuja kudata huku.sema hivi umechoka na uchawi kisha omba msamaha kwa ulio waumiza.! Na mtubie mungu akusamehe mwenzetu...na wale wenzio ujue vya kuwaeleza wakuelewe au utakufa ungali hai zumbe.! Kusoma ni kufahamu kukesha mbwembwe tu.!
 
Huyo TRIPLE H aliyeleta hii "story" so mkweli, nimembamba, soma post namba 112.

Ndio maana mie nimecheka sana kwasababu ukipitia posts zake za huko nyuma ukija ukilinganisha na hii hapa kwa watu ambao wanaona mbali utagundua kabisa jamaa yetu ni muongo kabisa 100%. Kuna uzi 1 alioandika ndio umemfanya jamaa kua muongo. Labda aje kivingine.
 

Haya asante mama kimbelembele nimekuzoea
Huo ukweli unaojifanya unaufahamu ni upi wewe!? Wewe ni nani hata usipingwe unajifanya unajua kila kitu mbona wewe? Ufahamu wako kwangu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote huwezi kunichagulia cha kujifunza FF you are nobody to me all what you have ni double standards at least one you are an expert
 

Mmh natania tu nawewe usiniogope kisa post ya JF everlenk
 
Last edited by a moderator:
Hivi vitu hufanyika mkiwa na nguo zenu au bila nguo? Ni swali la dhati mkuu TRIPLE H sio kebehi.
 
Last edited by a moderator:

Unipinge kwa kuusema ukweli? haya pinga post yangu namba 112 tuone unachokipinga.

Hapana sijifanyi nnajuwa kila kitu, ila kuna mengi sana niyajuayo. Na hususan hili la Canada, ni nchi niliyokaa zaidi katika maisha yangu kuliko nchi nyingine yeyote ile, sasa hapo kunidanganya kuhusu miji ya Canada itakuwa si rahisi.

Kijana una mengi sana ya kujifunza si kutoka kwangu tu bali kutoka kwa mwengine yoyote, bado hujakomaa kifikra, kielimu, kiujuzi, kidunia, kimuono na nna uhakika una ujinga wa asili (Gene-imprint).

Nami labda unayo ya kuweza kunifunza lakini sijayaona.

Hakuna binaadam ajuae kila kitu ila tunazidiana ujuzi wa mambo.
 

Hiyo in juu yako lakini huwezi kunichagulia cha kujifunza hata kama sijui kabisa napenda sharing hasa kwenye watu wenye broad mind na chagizo chanya sio wanaokurupuka na kuwaita wengine waongo bila hata kutafakari
 

Mkuu mshana...kuna post yako moja nilisoma kuwa huwa unazilisha zile .''wounder souls.'' .na unasema wewe ni muumin mzur wa mungu ., rafiki yangu mzuri wewe mbona unatia ulimi puani.? Ulishe roho ovu kwa huruma gani.!? Na uumini wako unakubaliana na hili kuchanganya iodine na maji.? Kama in gekuwa sawa hizo roho zingelishwa na mungu na si nyie kwa makafara.! Vibaya hivyo.....!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo in juu yako lakini huwezi kunichagulia cha kujifunza hata kama sijui kabisa napenda sharing hasa kwenye watu wenye broad mind na chagizo chanya sio wanaokurupuka na kuwaita wengine waongo bila hata kutafakari

Uongo ni uongo hauna mjadala na wewe umekiri kuamua kujifunza uongo.

Wewe binafsi yako ni muongo na nimesha kubamba humu humu JF zaidi ya mara moja ukidanganya watu, kwa hiyo sikushangai ukeindelea kuutetea uongo wa wazi kabisa.

Mimi ni wrong number. Kumbuka hilo.
 
Sijui nitakua nimepatia, hayo mambo wana-biblia wanaita "Sin against the nature" usije kujaribu kama bado unapenda maisha ya kawaida.
 

Ni sahihi kabisa lakini nilikuwa mafunzoni na hiyo ni kati ya 1996-1999 kupitia huko niliweza kujifunza kwa uhalisia wake nini maana ya kuabudu miungu na 'watu wa mataifa' nimejifunza vingi ambavyo vimenijenga kiimani zaidi na ndio maana kwenye mivurugano ya kidini hapa jamvini huwa nawaona ni wapuuzi tu wale wanaotoana jasho kudhihaki imani za wengine wakidhani wao ndio bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…