Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
kazana
"Rakims"
Nikazane nn sasa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazana
"Rakims"
Unajinyima maarifa bila sababu
fyddell ni sahihi kabisa unachokisema lakini amini usiamini tunachokifahamu hapa duniani ni robo tu ya yale yaliyoko kwenye ufahamu wa ulimwengu huuMshana Jr, kumbuka darasa la meditation nimelipitia lakini yanayoletwa hapa ni zaidi ya wengi wanavyojua. Huu ni uchawi totally, something that I can't advice my fellow wafundishwe coz hasara ni nyingi sana kuliko faida.
fyddell ni sahihi kabisa unachokisema lakini amini usiamini tunachokifahamu hapa duniani ni robo tu ya yale yaliyoko kwenye ufahamu wa ulimwengu huu
Mimi nimejifunza mengi ya hatari na ya kutisha kuliko hili la kupaa, tena mengine ndani ya hizi dini zetu
Nimesoma kuanzia uchawi wa mazingaombwe rahisi kabisa 'kukopea' na chuma ulete mpaka yale mabaya kabisa ya kusali na kufanya ibada za kishetani
Kikubwa ni kwamba sijabadilika na nimekuwa muumini na mcha Mungu mzuri zaidi, mimi huwa natamani maarifa fulani nione vile inafanyika halafu basi sifanyi muendelezo
Sijisifu ila nafahamu mengi yaliyoko kwenye inner world or simply hidden world, ulimwengu uliofichika ulimwengu wa giza
Nyumba tunamoishi, barabarani misituni baharini kwenye majengo marefu kuna vitu vya ajabu kutisha na kuogofya mno! Ukiwa na hizi elimu its so fascinating how you communicate/interact with them
Binafsi na kwa uwazi kabisa napenda kujifunza hayo maarifa ya kupaa nilishafanya zamani nataka nijaribu tena kama nilikuwa na diploma nahitaji degree sasa
FF siwezi kupingana nawe au kukubaliana naye moja kwa moja ninachongalia ni je najifunza kitu!?

umesema kweli, wengi wanaanzisha mada ili baadae igeuke mahubiri, au kutangaza dini yao!Hiyo post namba 112 huyo TRIPLE H haijibu hiyo kwa sababu haijibiki, niliouweka ni ukweli na yeye amedanganya.
Baada ya kusoma hiyo nyuzi nikagunduwa kuwa mwisho wa siku siku itaishia kwenye kuokoka na kanisani kama si yeye basi kitachomoza kidudu mtu na post nyingine ya kuleta hayo na huyo TRIPLE H ataunga mkono.
Unajuwa wengine hawa kudanganya ndiyo imani yao.
Huyo TRIPLE H aliyeleta hii "story" so mkweli, nimembamba, soma post namba 112.
Upingane nami tena? na niliouleta ni ukweli? utachokipinga ni nini kwangu na ni ukweli mtupu? na utaanzia wapi? basi unashindwa hata kupingana na anaeleta uongo wa wazi kabisa na hata nilipoubainisha bado wewe unasema unajifunza!
Unajifunza uongo?
Amma kwa hakika mnazidi kuyakinisha kuwa hata hizo shule mlisomea ujinga ndipo hata mnadiriki kujifunza uongo. Sikushangai, ni wale wale.
Wewe mshana jr hakuna anayeweza kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja lazima mmoja atakuwa kivuli tu, yaani nazidi kukuogopa jamani hapa nilipo natetemeka mbaya sijui kwanini nimekuquote......... Honey Faith njoo uone maajabu ya huyu rafiki yetu......
Haya asante mama kimbelembele nimekuzoea
Huo ukweli unaojifanya unaufahamu ni upi wewe!? Wewe ni nani hata usipingwe unajifanya unajua kila kitu mbona wewe? Ufahamu wako kwangu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote huwezi kunichagulia cha kujifunza FF you are nobody to me all what you have ni double standards at least one you are an expert
Unipinge kwa kuusema ukweli? haya pinga post yangu namba 112 tuone unchokipinga.
Hapana sijifanyi nnajuwa kila kitu, ila kuna mengi sana niyajuayo. Na hususan hili la Canada, ni nchi niliyokaa zaidi katika maisha yangu kuliko nchii nyingine yeyote ile, sasa hapo kunidanganya kuhusu miji ya Canada itakuwa si rahisi.
Kijana una mengi sana ya kujifunza si kutoka kwangu tu bali kutoka kwa mwengine yoyote, bado hujakomaa kifikra, kielimu, kiujuzi, kidunia, kimuono na nna uhakika una ujinga wa asili (Gene-imprint).
Nami labda unayo ya kuweza kunifunza lakini sijayaona.
Hakuna binaadam ajuae kila kitu ila tunazidiana ujuzi wa mambo.
fyddell ni sahihi kabisa unachokisema lakini amini usiamini tunachokifahamu hapa duniani ni robo tu ya yale yaliyoko kwenye ufahamu wa ulimwengu huu
Mimi nimejifunza mengi ya hatari na ya kutisha kuliko hili la kupaa, tena mengine ndani ya hizi dini zetu
Nimesoma kuanzia uchawi wa mazingaombwe rahisi kabisa 'kukopea' na chuma ulete mpaka yale mabaya kabisa ya kusali na kufanya ibada za kishetani
Kikubwa ni kwamba sijabadilika na nimekuwa muumini na mcha Mungu mzuri zaidi, mimi huwa natamani maarifa fulani nione vile inafanyika halafu basi sifanyi muendelezo
Sijisifu ila nafahamu mengi yaliyoko kwenye inner world or simply hidden world, ulimwengu uliofichika ulimwengu wa giza
Nyumba tunamoishi, barabarani misituni baharini kwenye majengo marefu kuna vitu vya ajabu kutisha na kuogofya mno! Ukiwa na hizi elimu its so fascinating how you communicate/interact with them
Binafsi na kwa uwazi kabisa napenda kujifunza hayo maarifa ya kupaa nilishafanya zamani nataka nijaribu tena kama nilikuwa na diploma nahitaji degree sasa
Hiyo in juu yako lakini huwezi kunichagulia cha kujifunza hata kama sijui kabisa napenda sharing hasa kwenye watu wenye broad mind na chagizo chanya sio wanaokurupuka na kuwaita wengine waongo bila hata kutafakari
Mkuu mshana...kuna post yako moja nilisoma kuwa huwa unazilisha zile .''wounder souls.'' .na unasema wewe ni muumin mzur wa mungu ., rafiki yangu mzuri wewe mbona unatia ulimi puani.? Ulishe roho ovu kwa huruma gani.!? Na uumini wako unakubaliana na hili kuchanganya iodine na maji.? Kama in gekuwa sawa hizo roho zingelishwa na mungu na si nyie kwa makafara.! Vibaya hivyo.....!