Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..

Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,

aah!
 
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..

Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,

aah!

Tembea tena toka Mbweni hadi Mbagala mwisho akili itakukaa sawa. ALGATOZMASHITA
 
Nimeelewa hapo, sina haja tena hata ya kuuliza kitu
Heheehhee nilishamwambia akitaka kuondoka kwangu ale kona kwani Kiperemende ni yeye tu?
Kwanza ye ni small hausi wala hanibabaishi lolote.
 
Dah!
Bora mimi ninaye shabikia Tukuyu Stars...sina presha wala nini!!
 
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi.. <br />
<br />
Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,<br />
<br />
aah!
Just like me.Kasoro Shak04
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…