Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Sasa ivi sitaki kusikia habari za mchezo aina yoyote
Ukisha kuwa addicted na michezo,huwezi kuizira kirahisi namna hiyo!
Hasira zikipoa,utaendelea kuangalia tu!
Sasa ivi sitaki kusikia habari za mchezo aina yoyote
Ukisha kuwa addicted na michezo,huwezi kuizira kirahisi namna hiyo!
Hasira zikipoa,utaendelea kuangalia tu!
Ruttashobolwa nipo sema recently kuna mambo flani nilikuwa nayaweka sawaRich woman umejificha wapi?
Braza nikupoleje? Yaani hizo timu zako zote ulizoamua kuchagua kuzipenda, kama ingekua buchani ningesema umechagua nyama ya goti! Au ya mbupuma!
Man U ipo!
Dar Young Afrc ipo!
Karibu huku, hizo timu zitakutoa roho!
kabisa
hata hivyo shabiki mzalendo haachi ushabiki kirahisi hivyo
Hata mie nimesema narudi chaneta.
Simba, barca wananiuziiii
Na avatar inanibidi nikabadili.
Shabikia Faru Dume, kila siku tunashinda makombe ya kuku na mbuzi!!!
mambo vipi.
Brother! mpila una weza nisabisha magonjwa ya moyo tu, hata hao yanga walipigwa sana mwaka jana, pia hata man u mwaka jana kha! Hapa niamie kwenye mchezo wa pikipiki na ma game
Heheehhee nilishamwambia akitaka kuondoka kwangu ale kona kwani Kiperemende ni yeye tu?
Kwanza ye ni small hausi wala hanibabaishi lolote.
Hivi wewe . . . ni lini utaniheshimu na kuacha kunisemea hizo hadithi zako??
Akuheshimuje kupita hapo?
Au hadi abomoe big haus ndiyo ukubali kakuheshimu?
Kakusimika Kaimu, Vice, deputy, Naibu, Asisstance, Makamu, Nahodha msaidizi, na kule kwenye Airline wanaita F. O (First Officer)
Mivyeo yote after big haus wewe umikabiziwa!
Bado huoni heshima?
Binadamu bwanaa!
The thing is . . . . I don't do with mitala aisee.
Sembuse kuitwa the other wife???? Oooh Gooosssh!!!
Mgomba si ni uleule? Anaokula mama bigi na mama smoli ?
Tatizo li-wapi?
Huo wa kula pekee kichoyo, hii world ya IT na Technohamer upo is't available?