Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Hivi wewe mdada mbona una maakili sana?
Nani anakupaga maskillzi ya utambuzi kujua mavitu ya adabu kiivi ?
Teh! Mi sijui.
Labda ni kipaji!!!
Hivi wewe mdada mbona una maakili sana?
Nani anakupaga maskillzi ya utambuzi kujua mavitu ya adabu kiivi ?
Nakuheshimu mpenzi ila huwa unaniudhi wakati mwingine!
Love u my Kipipi
Halafu baadae ukuje kuchukua movie nzuri zawadi ya penzi lako kwangu!
Rich woman ujue umekua mvivu sasa ivi?