Tafuta Mpenzi akupe raha - By Vumi
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..
Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,
aah!
Hahaaaa nimecheka sana
mwenyewe nashabikia African sport ya tanga ....
Huyo Mpenzi wako naona naendana nae ila me siko Yanga wa Simba na kakosa Juventus tu!Mpenzi wangu eeeh! yeye yupo yanga, man u na R madrid, hapa hadi na mkwepa kwa jinsi anavyo nicheka badala ya kunifariji
Huyo Mpenzi wako naona naendana nae ila me siko Yanga wa Simba na kakosa Juventus tu!
Enzi zidane anakipiga Juventus alikuaga anaishabikia sana, ila siku izi sioni kama anafatilia ligi ya italy, hua ananiboa sana timu zangu zinapo pigwa sema ndo ivyo mwana mke hapigwi
Mke anapigwa ila anapigwa kwa Upande wa Kanga pekee Mpe Kichapo tu
Hahahaha ww ufai ata tafuta nyumba ndogo ukimpandsha kuna m2 anazizima
Faru dume ndio nini?
We una nyumba ndogo ngapi?
Au una wake wangapi?
Mke anapigwa ila anapigwa kwa Upande wa Kanga pekee Mpe Kichapo tu
hiyo ni timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa raia wote wa Migomigo....
Heheh . . . kama siku ile mlivyokung'untwa na Ac Millan.
Alafu Puyol akala za uso, rahajeee!
Man U plus Yanga ndo mpango yakhee!
Sie mila ya kabila yetu, mke twampiga kwa BAKORA ya NYAMA, (FIMBONYAMA) hiyo ndiyo kanuni
Fimbo nyama.. mh!
Hamia Netball