Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

mpira burudani tosha. namshukuru Mungu am a football addict
 
Mie fan wa zote ulizotaja ila Nakomaa had mwisho
 
Kweli u mshauri, umeonge pwoint ya kweli kabisa..
Nilipokua nafanya kazi North Virginia then South Carolina na hatimae Malesia nilikua nikiwapa watu wa huko ushauri usio na malipo!
So far hapa kwetu pia nisipofanya hivyo ntakua siitendei haki nchi yangu.
Ushauri ;
Mchezo wa futboli hauchezwi kwa ku'refar history za mwaka jana , au juzi !
It's a currently data applicable for!
Na hilo ndilo somo (NENO) letu la leo.
 
Utaki soka? Karibu tuwavue chupi akina naniiiiii!
 
Umesema point hapo, sijazaliwa na timu yoyote ya mpila wa miguu.. Bora nipumue badae nikutafute twende tukazivue
Mwenzako baada ya yanga kulambwa 5 bila na simba nika kimbilia Azam! Huwo ndio ushabiki sio yanga yangu, simba yangu, utakufa na kijiba cha roho bule
 
Hahahah...pole sana. Ila in life u have to know both pain and joy. Tatizo lako hizo team unazoshabikia give u more pain and negligible joy.
Kuwa kama mimi Chelsea...Yanga.


Halafu Kipipi nakutafutaje...
 
Last edited by a moderator:
Chelsea? mh! Nakwepa nini sasa, nyie wenyewe mnapumulia neon
Hahahah...pole sana. Ila in life u have to know both pain and joy. Tatizo lako hizo team unazoshabikia give u more pain and negligible joy.
Kuwa kama mimi Chelsea...Yanga.


Halafu Kipipi nakutafutaje...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom