Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #81
Fimbo ya nyama, sasa una mchapa nayo wapi?
Kipi kikushangazacho?
Kipi kikushangazacho?
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..
Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,
aah!
mkuu mi naona mwaka huu tuombe maezeki watupunguzie garama za maturubai maana hii misiba si midogo mi mpaka nimeamua kumkodisha daktari 24/7 kwaajili ya kutuliza presha.
jana baca alipofungwa tu nikajilipua, nasubiri leo totenham sijui kama tutatoka...
mh! Hasa huyu babu wenger ndio ana nikera kweli, jana hali ikua mbaya sema Leo Messi kwakua alifunga na kuendelea kuongeza idadi ya magoli nilijisikia faraja kidogo, Simba sijui itakuaje tu aisee
ni kuzidi kuwaombea tu ili israel awapitie mbali....... la sivyo tujiandae kutoa last respect
Fimbo ya nyama, sasa una mchapa nayo wapi?
sina imani na libolo mkuu!
Kwenye nyama nyenzake!
Swali jingine?
zetu dua ndio kilichobaki...
zetu dua ndio kilichobaki...
Umeona Arsenal wanacho fanywa?
Umeona LiBoLo lilicho fanya?
hata matokeo siyajui mkuu hebu nijuzeee
BP ilikuwa iko juu nikashindwa kuangalia
Libolo limepiga ivi ivi vinne yani 4 , hii wiki nzima timu zote nizo shabikia zimepigwa kha!