Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Soma vizuri title nduguKusema kwamba hautakula chakula cha mama ntilie Hadi unakufa hapo utakuwa unakosea sn
Kwa maisha ya kibongobongo,kuna wakati mama ntilie hawakwepeki,vinginevyo uwe unatembea na gari lenye mgahawa ndani Kila unapoenda
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kila jambo linalokataliwa basi ni tatizo, na hilo tatizo limesababishwa na jambo lingine (cause and effect). Tuambie ni tatizo gani hilo na limesababishwa na nini ili na wengine tuwe aware, pengine tunaweza kusaidia kuondoa kisababisho (cause), na hivyo kurejesha hali ya kawaida. Nadhani hiyo ni busara zaidi.Hi!
Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo.
Mimi sili kwa mama nitilie.
Lunch box zimejaa madukaniKusema kwamba hautakula chakula cha mama ntilie Hadi unakufa hapo utakuwa unakosea sn
Kwa maisha ya kibongobongo,kuna wakati mama ntilie hawakwepeki,vinginevyo uwe unatembea na gari lenye mgahawa ndani Kila unapoenda
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wachawi sanaKila jambo linalokataliwa basi ni tatizo, na hilo tatizo limesababishwa na jambo lingine (cause and effect). Tuambie ni tatizo gani hilo na limesababishwa na nini ili na wengine tuwe aware, pengine tunaweza kusaidia kuondoa kisababisho (cause), na hivyo kurejesha hali ya kawaida. Nadhani hiyo ni busara zaidi.
Kuna mama mmoja ye anapikiaga soko fulani, mji fulani, kitongoji fulani kikubwa tu, kwa macho yangu, nilimshuhudia anapopika maharage yanayotakiwa kutumika kesho yake asubuhi, basi anachochea moto, anaongeza maji, halafu anafunika sufuria na anaweka jiwe juu, anakwenda kulala, siku hiyo katika mishemishe zangu za usiku, nikakuta mbwa kama 7 hivi, wamesukuma sufuria, wametipa kule mfuniko, na moto ulishapoa, mbwa wakawa wanarambaramba maharage, yule mama asubuhi akawahi, nikamwambia usiuze hayo maharage akasema sawa khee! huku nyuma nimetoka, mwenzie akaniambia eti alinichukia sana, na akaamua kuyaosha na kuyapasha akawauzia wananchi!! Dah!Ila hawa wamama wanapika vyakula hovyo hovyo mpka sio poa...si kwanini hawajiongezi angalau basi waweke mazingira masafi.