Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Dah aisee nimesikia kichefu chefu hapa nusu nitapike.Zile ndoo za maji asilimia kubwa huwa ni za chooni au usiku huwa zinawekwa chumbani kwa ajili ya kukojolea maana si unajua wanawake hawatokagi nje au kuchuchumaa chooni muda wa usiku hata kama choo kipo chumbani.