Dah aisee nimesikia kichefu chefu hapa nusu nitapike.Zile ndoo za maji asilimia kubwa huwa ni za chooni au usiku huwa zinawekwa chumbani kwa ajili ya kukojolea maana si unajua wanawake hawatokagi nje au kuchuchumaa chooni muda wa usiku hata kama choo kipo chumbani.
Dah basi baba tumekoma. Tutakula kwenye migahawa. Khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mama ambae anakanda unga wa maandazi kwa miguu??!!afu ana magamba unga ukinatia kwenye magamba anautoa na tuthpik...
huku jasho likimtiririka analitoa analimwagia kwenye unga..
au kupikia maji ya monchwar
Hawa mama nitilie wengi ni illiterate.Umelishwa mbwa nn
Siriyakoolakini
Naunga mkono hoja mimi pia sili,kuna mama ntilie aliktoka chooni bila kunawa na sabuni akaishia kukanda chapati