Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
 
Ni upepo tu utapita kwa watanzania ninavyowajua kwa kuchukuliwa na matukio.
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
"Utapata tabu sana"
 
Haya ulipaswa umwandikie mumeo. N uamuzi wenu, HAUTUHUSU!
 
Mkuu ulisema shauri yetu kama tutachangia uzi huu, au.....
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Lini ulimchagua wewe asshole!
 
Ubongo Kid, pole, hizi ni hasira tuu, na hauko peke yako, kids wote huwa na tabia kama hizi za kususa.

Kufikia 2020, mabarabara ya juu kwa juu, reli ya umeme SGR, ndege za ATC zinajivinjari dunia nzima, Tanzania ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati, pesa kedekede, hasira zitakwisha hivyo utabadilika tuu na ndio nyinyi mtakaongoza maandamano kubadili katiba, ukomo wa miaka 10 uondolewe ili Magufuli aendelee.

Ila pia kufuatia kazi nzuri inauoendelea, tumeshauri 2020 kusiwe na uchaguzi wa rais kwasababu hakuna haja.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom