Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Nitamchagua Magu ingawa ameniudhi kwa mambo matatu,
1- kuminya upinzani.
2- kukaribisha wapinzani ccm kisha kuwafanya ndio wagombea wa ccm.
3- kumkumbatia Bashite.
Haki yako inaishia kwenye kupanga mstari na kuandika alama ya tick kwenye makaratasi ya kula, ila nani awe mshindi tume na vyombo vya dola ndio vinaamua.
 
Ni binadamu mwenye roho mbaya sana,hajali wananchi wake,
Hatumtaki tena kwani kama ametutendea mabaya mengi miaka 5 iliyopita itakuaje kama akipewa nafasi nyingine?
Ndugu watanzania wenzangu,magufuli si mtanzania kiasili hivyo amebeba roho ya mauaji na ni ngumu kiuiacha maana ameaha irithi.
Mpaka sasa mmeona jinsi watu wanavyouliwa Pemba na unguja na wala hashituki,tumkatae,kama huyu shetani akiendelea tutaumia sana,namwita shetani sababu ana roho ya kishetani.
Kama kweli MUNGU anatupenda atuepushe na magufuli Kwa njia yoyote kabla ya matokeo ya uchaguzi,.
Amebomolea watu makazi akaua
Ameharibu biashara za watanzania akaua
Ameteka watu na kupoteza ameua
Amepandikiza chuki ktk utanzania wetu,zamani ccm na upinzani tuliheahimia bila hata kufikiria kuuana ameua.

Tumkatae Kwa kauli ya kutompa kura kama ambavyo MUNGU ameelekeza utaratibu wa kupiga kula,tumkataeni magufuli.
Mlio na mengi ongezeeni hapo ili watu wajue uovu wake,tumkataeni magufuli Kwa sauti Moja kwamba hatumtaki maana ana roho ya kiuaji,si mtanzania kiasili,ni mkimbizi aliyrkimbilia Tanzania.

Kwanza tunawalaumu Usalama wa taifa Kwa kutomjua kuwa si mtanzania na walipaswa asipate nafasi yoyote ya uongozi,
Tumkataeni magufuli na roho yake mbaya.

Sees.
 
Wakati tukisubiri Kama mawasiliano yatarejea, niwashauri vyama vya siasa kuwaelekeza watendaji wao nchi nzima kutoa update ambazo ni verified kuhusu mambo yanayoendelea katika kata,Jimbo na Taifa kwa ujumla.

CHadema na ACT wakiwa na akaunti hapa then viongozi wao wa ngazi tofautitofauti wakaweka updates kwenye akaunti wakichangia kamamemba itatusaidia kuelewa kinachoendelea.

Plani B ni kupokea taarifa za nchi nzima then wakawa wanacompile nakutoa Kama press release kwa kila masaa matatu Hadi sita itasaidia sana kupashana habari. Hi yakutoa updates ilisaidia sana wakati wa kutafuta michango ya kulipa faini.

Taadhari: Tupate taarifa zilizothibitishwa tu.
 
Yaani kwa utawala wake wa kuonea watu, watu wanaishi maisha magumu halafu yeye kwakua analindwa, anapewa kila kitu kupitia pesa za walipa kodi anaona fahari kwa kutuambia maisha yatakua magumu zaidi. Haoni uchungu na matumizi kwa watanzania aliowaumiza.

Kwa mabavu wameagiza mitandao ya kijamii kufungwa ili watanzania wasipashane habari kujua ghilba wanazozifanya kwenye uchaguzi huu. Kwani mitandao ingeathiri kitu gani kama kuna uhalali katika uchaguzi?
Apende asipende asidhani ni rahisi kuhujumu mamilioni ya kura za watanzania waliowakataa.

Wasitusimsngie madaraja na Mareli yao ambayo hata hayaeleweki ni lini yatamalizika. Wasitutishie bhana taifa ni letu huru
 
Tupo wengi ambao hatutamchagua huyu mzee. Mwenyewe analalamika kila siku kwamba tumempa mzigo mkubwa wa urais. Tunampumzisha sasa arudi Chato
 
Yaani kwa utawala wake wa kuonea watu, watu wanaishi maisha magumu halafu yeye kwakua analindwa, anapewa kila kitu kupitia pesa za walipa kodi anaona fahari kwa kutuambia maisha yatakua magumu zaidi. Haoni uchungu na matumizi kwa watanzania aliowaumiza.

Kwa mabavu wameagiza mitandao ya kijamii kufungwa ili watanzania wasipashane habari kujua ghilba wanazozifanya kwenye uchaguzi huu. Kwani mitandao ingeathiri kitu gani kama kuna uhalali katika uchaguzi?
Apende asipende asidhani ni rahisi kuhujumu mamilioni ya kura za watanzania waliowakataa.

Wasitusimsngie madaraja na Mareli yao ambayo hata hayaeleweki ni lini yatamalizika. Wasitutishie bhana taifa ni letu huru
Wamesoma sana aloandika Robert Amsterdam na Kigogo na wengine.

Wameona hii itakuwa "too much to bare".

Pia, taarifa za kijasusi zimetosha kuhusu mipango ya vurugu ilivyofanikiwa Zanzibar na watu walikuwa wakihamasishana na hatimae vurugu za kutupa mawe zikaanza.

Hivyo kwa faida ya kuwa na amani na utulivu ni ukosefu wa internet siku ya kesho.

Kwani ingebadilika na kuwa ni hatua ya "abuse" kwa mitandao kujaa mambo ambayo ni hatari kwa usalama wa taifa na wananchi wake.

Tarehe 29 mapema Internet itarudi.
 
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
 
Kinacho niuma mm simu yangu mwenyewe nashindwa ingia instagram😅😆 tutaisoma namba
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Usivunjike moyo wewe chagua kutokana na moyo wako ukielewa kwamba Magufuli anapambana na Tundu Lissu, Lissu ni tofauti sana na wagombea waliowahi kushindana na ccm kabla, ameonyesha uimara wa kukisimamia anachokiamini mabadiliko yanakuja kwa vyovyote
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Kila la kheri na safari yako huko uendako; sisi tunasonga mbele. Hapa kazi tu! hamna cha mkatomkato. Waliokosa mkatomkato watalalamika sana mwaka huu; kipenga cha mwisho ni masaa machache kuanzia sasa
 
Kura zote kwa Lissu
Tengenezeni box kubwa la kuziweka kura ili aende nazo Ubelgiji; ameshakiri hadharani kuwa atarudi ubelgiji baada ya uchaguzi. Lissu kakaa Ubelgiji akiwa mgonjwa ila aliporudi Tanzania akaja na tabia ya kuonyesha kuwa anajua sana maisha ya nchi za ulaya kuliko wale waliokaa kule zaidi ya miaka kumi wakiwa wanafanya kazi zao. Tabia ya ajabu sana hiyo. Mwanzoni alikuwa anaogopa kurudi Tanzania ila baadaye ndipo akapta ufadhili wa kuja kwa mbwembe ambazo zinafikia tamati. Mbio za sakafuni huwa zina mwisho wake
 
Point nn sasa?
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Mkuu utakuwa umetupunguzia msongamano kama hutapiga kura,upige au usipige kura yako ni sawa na kumwaga lori la sukari ziwa Victoria
 
Wana jamvi leo tena nimepata muda angalau wa kusisitiza jambo ili. Mimi ni mtanzania ambae nimezaliwa kwenye familia ya wanachama kindakindaki,wakeleketwa na wanufaika wa CCM. Babu ,bibi ata wazee wangu nimewakuta CCM nami wakanielekeza na kunilea katika itikadi na imani ya CCM .Ila kuna wakati niliona kua familia yangu ilikua inapotoka na kunufaika na CCM kwa njia ambazo ni kinyume na dini,utamaduni wetu na haki.
Kipi nilihamua kufanya,nilihamua kujitenga na familia yangu katika mambo ya Kisiasa lakini nikaendelea kushirikiana nayo kwenye mambo dini,undugu,uchumi,kijamii nk..Mwaka 2015 ni mwaka ambao wazazi wangu walijua fika kua zipo nao kisiasa kabisa...mzee wangu na babu walidiriki mpaka kuniita na kuniasa lakini pia kunikalipia kuhusu mwenendo wangu wa kisiasa...niliwajibu tena kwa upole kua wazazi wangu nawaheshimu sana na kuwapenda lakini naheshimu HAKI kuliko vyote...mazungumzo yaliishia apo.
Tarehe 28/10/2020 naenda tena kupiga kura dhidi ya CCM na kinachonisukuma ni nafsi yangu inayopenda HAKI basi.
Sipo tayari kua upande wa watu wasio penda HAKI...Wazazi na wanajamvi naomba mnielewe.
 
Unasonga mbele wapi?

Back
Top Bottom