Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
kuelekea maendeleo na kuachana na sogaUnasonga mbele wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuelekea maendeleo na kuachana na sogaUnasonga mbele wapi?
kuelekea maendeleo na kuachana na soga
Hayo mabarabara ya juu sie wakazi wa Bunda tunaoambiwa tulichagua upinzani yanatusaidia kitu gani mkuu?Ubongo Kid, pole, hizi ni hasira tuu, na hauko peke yako, kids wote huwa na tabia kama hizi za kususa.
Kufikia 2020, mabarabara ya juu kwa juu, reli ya umeme SGR, ndege za ATC zinajivinjari dunia nzima, Tanzania ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati, pesa kedekede, hasira zitakwisha hivyo utabadilika tuu na ndio nyinyi mtakaongoza maandamano kubadili katiba, ukomo wa miaka 10 uondolewe ili Magufuli aendelee.
Ila pia kufuatia kazi nzuri inauoendelea, tumeshauri 2020 kusiwe na uchaguzi wa rais kwasababu hakuna haja.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Mitandao ya kijamii ipo wazi tu; ila kutumia mitandao kueneza umbea tunaweza kuzuia kwa muda huu ambao tension ya nchi iko juu. Watu wanatumia mitandao kutangaza uwongo mwingi sana ambao unaweza kuharibu amani ya nci, kwa mfano mara mamlaka ya anga imezuia helikopta yetu, mara nimepigwa na wanaume watatu wakanikanyaga kanyaga na kunitengua miguu, mara ooh nimezuiwa KIA makusudi ili kunichelewesha. Hiyo tabia ya kueneza uwongo kwenye jamii ni lazima iwe controllede kwa wakati huu.Maendeleo ni pamoja na mitandao ya kijamii,waambie sasa leo watufungulie WhatsApp Twitter, FB, Instagram,YouTube na play store
Na yakwangu ndio haipati ng'ooooNajua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care
Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,
Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.
OVA
Kwa hiyo unakuja hapa kutuambia ili itusadie nini sisi.Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care
Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,
Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.
OVA
Haki yako inaishia kwenye kupanga mstari na kuandika alama ya tick kwenye makaratasi ya kula, ila nani awe mshindi tume na vyombo vya dola ndio vinaamua.
Endelea kukereka mkuu, WE ALSO DONT CARE how deep umekereka....Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care
Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,
Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.
OVA
Familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki na huko wa kijijini wote na mtaani kwangu tumeshahamasishana, tunaenda chinja muda si mrefu.View attachment 1614253
Nishamchagua Magufuli na mbunge wa CCM tayari. Cha ajabu Wakala wa chadema hapa nilipopigia kura mimi yéyé sio mpiga kura hakujiandikisha. Naapa mbele ya Mungu , sasa mtashindaje? Au mtashinda kwa matusi mitandaoni?
Fatilieni mtaona.
Bora na hii jamii forum Izimwe kwa muda . Tufanye kazi moja kwanza.
Namba tutaisoma sote, vyuma havikukaza kwa wapinzani tu"Utapata tabu sana"