Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Hata 2015 hajachaguliwa ila figisu tu za Lubuva tu na hana mpango wa kumchagua atapita kama alivyopita mwanzo,ndio maana anafanya mambo hovyo hovyo akimaanisha hata usimpompigia anaingia ikulu,fukuza vyeti feki,hakuna nyongeza ya mshahara wala nini,life mtaani gumu kwa wapiga kura lakni ana uhakika anaingia madarkani kwa mgongo wa NEC/Policcm na usalama wa SISIEMU.
 
Hata nje sitagusa.Nitashinda ndani tu naangalia music au movie.Na hii ni kama nitakuwa Tz.

Tume huru na katiba mpya vidaiwe vinginevyo!!!!
 
Katika maisha yangu yote yaliyosalia, sitompigia kura mgombea yoyote, kwa ngazi yoyote wa CCM.

Muumba wangu nijalie maisha marefu!!
 
sipati tabu kwa sababu naendana na hali iliyopo
 
wago
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
wagonjwa wa akili ni wengi sana! I recommend psychotherapy!
 
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care

Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo,

Nimemaliza na usiulize kwa nini....We kama unataka kuchangia huu uzi shauri lako.

OVA
Mimi ccm ila kura yangu ni siri..!
 
Nitamchagua Magu ingawa ameniudhi kwa mambo matatu,
1- kuminya upinzani.
2- kukaribisha wapinzani ccm kisha kuwafanya ndio wagombea wa ccm.
3- kumkumbatia Bashite.
 
Bora wewe hutamchagua, Mimi sitapiga kura yoyote ile, wallet yangu itakaa leseni, kadi za bank na kitambulisho cha taifa, sitaki hata kuiona kadi ya mpiga kura.
 
Back
Top Bottom