Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Kura yako haitabadilisha kitu, pole sana tena sana.
 
P nafikiri kifungu cha 37 cha katiba kitakuwa kinakuhusu na wewe
 
Dah.... mbona uamuzi wa kawaida Sana huo...sioni jambo la ajabu...kwani hata wakati wa kupiga kura unakuwa uko peke yako.....kabla ya kuvuta uwe unakula bro[emoji41]
 
2020 mimi na familia yangu hatutapiga kura.
Kutopiga kura maana yake ni moja tu. Kwamba wewe na familia yako mnakubaliana na anayellazimisha ashinde hata kama hapendwi.
Ni bora kupiga kura, ili hata ikiibiwa hao wezi watumie nguvu kidogo katika kazi hiyo ya wizi na kulazimisha wabaki hata kama hawapendwi.
Na wewe pamoja na familia yako hamtajilaumu kwa yatakayotokea baada ya uchaguzi huo. Siku zote majuto ni mjukuu. Natumaini utanielewa kwa kutumia msemo huo.
 
Sasa kura zenyewe za kuiba wewe kupiga kura au kutopiga haina adhari yeyote
 
Nimeshakata shauri kura sitapiga otherwise tume ya uchaguzi iwe huru.
 
Sio ccm, wakipiga kura watu 15,000/= utaambiwa wamejitokeza na kupiga kura watu 1,500,000/= mgombea wa ccm ameshinda kwa kishindo kikubwa.
Utasikia wasio na haya wakisema uchaguzi ulikuwa huru na haki na tunalipongeza jeshi la polisi kwa kusimamia uchaguzi kwa haki.
 

Ok Mayalla;
Nimekusoma kweli kweli. Hakuna haja ya kupoteza pesa za kumpigia kura aliyeshinda tiyari. Mambo hayo tajwa ya kimaendeleo kweli kweli bado atokee mtu ati anataka kumpinga?? Nadhani atakuwa sawa na yule mzee Bugingo Mageta aliyechukua fomu ya kumpinga Julias. Those were the days. Naunga mkono kubadili katiba aendelee
 
Aidha ubongokid au moja wa wazazi wake wapo Temesa au kwenye bodi ya ushauri ya Temesa.
 
Government haina shida na hata uchague uaichague hata ukifa ni kama kuzika mbwa tu.
 
CCM haihitaji kura ya Wavivu wasiofanya kazi na kuota Maisha mazuri
 
Rais Magufuli hahitaji kura za malofa ili kuwa rais
Maneno ya shombo kama haya 1994 yalipelekea Genocide kule Rwanda sasa endelea kupanua hilo domo lakini maharage yakichacha tutakula wote
 
haa haa hongera mi sitapiga kokote kwa litume hili la kina kihamia.
 
Hayo yote uliyotaja yameleta impact gani kwa watanzania zaidi ya kulipia mikopo na riba ya hiyo miundombinu?Mwaka wa tatu hivyo viwanda na middle class earner umeona hata dalili.....viwanda vya kwenye majukwaa!. Pascal ule wito wa Dodoma umekufanya utumie kalamu yako kama wanavyotaka hongera....,
 
Nyie ndio mnaopewa mfuko wq chumvi na tisheti mnapiga tena kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…