Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Hata 2015 hajachaguliwa ila figisu tu za Lubuva tu na hana mpango wa kumchagua atapita kama alivyopita mwanzo,ndio maana anafanya mambo hovyo hovyo akimaanisha hata usimpompigia anaingia ikulu,fukuza vyeti feki,hakuna nyongeza ya mshahara wala nini,life mtaani gumu kwa wapiga kura lakni ana uhakika anaingia madarkani kwa mgongo wa NEC/Policcm na usalama wa SISIEMU.
 
Hata nje sitagusa.Nitashinda ndani tu naangalia music au movie.Na hii ni kama nitakuwa Tz.


Tume huru na katiba mpya vidaiwe vinginevyo!!!!
 
Katika maisha yangu yote yaliyosalia, sitompigia kura mgombea yoyote, kwa ngazi yoyote wa CCM.

Muumba wangu nijalie maisha marefu!!
 
sipati tabu kwa sababu naendana na hali iliyopo
 
wago
wagonjwa wa akili ni wengi sana! I recommend psychotherapy!
 
Mimi ccm ila kura yangu ni siri..!
 
Nitamchagua Magu ingawa ameniudhi kwa mambo matatu,
1- kuminya upinzani.
2- kukaribisha wapinzani ccm kisha kuwafanya ndio wagombea wa ccm.
3- kumkumbatia Bashite.
 
Bora wewe hutamchagua, Mimi sitapiga kura yoyote ile, wallet yangu itakaa leseni, kadi za bank na kitambulisho cha taifa, sitaki hata kuiona kadi ya mpiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…