Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

Hayo mabarabara ya juu sie wakazi wa Bunda tunaoambiwa tulichagua upinzani yanatusaidia kitu gani mkuu?
 
Maendeleo ni pamoja na mitandao ya kijamii,waambie sasa leo watufungulie WhatsApp Twitter, FB, Instagram,YouTube na play store
Mitandao ya kijamii ipo wazi tu; ila kutumia mitandao kueneza umbea tunaweza kuzuia kwa muda huu ambao tension ya nchi iko juu. Watu wanatumia mitandao kutangaza uwongo mwingi sana ambao unaweza kuharibu amani ya nci, kwa mfano mara mamlaka ya anga imezuia helikopta yetu, mara nimepigwa na wanaume watatu wakanikanyaga kanyaga na kunitengua miguu, mara ooh nimezuiwa KIA makusudi ili kunichelewesha. Hiyo tabia ya kueneza uwongo kwenye jamii ni lazima iwe controllede kwa wakati huu.

Angalau kwa Marekani wao wakigundua mtu anaenzea uwongo wanafuta post yake, kwa mfano wamekuwa wanafuta post nyingi za Trump, lakini hapa kwentu hawafany hivyo, kwa hiyo nchi inaweza kuzipinguza kwa kubada sehemu ya bandwidth, ingawa haizuii kabisa kwani wenye VPN wanaweza kupita tu.
 
Na yakwangu ndio haipati ng'oooo
 
Kwa hiyo unakuja hapa kutuambia ili itusadie nini sisi.
Yaani nini hasa malengo ya uzi wako.
 
Hakuna mt kawahi kumchagua huyo Magufuli. 2015 waliba kwasababu Lowasa alikuwa wakala wao.

Sasa hivi ni chuma. Huko anaandika report kufugua kesi za majizi ccm.
 
Haki yako inaishia kwenye kupanga mstari na kuandika alama ya tick kwenye makaratasi ya kula, ila nani awe mshindi tume na vyombo vya dola ndio vinaamua.


Nishamchagua Magufuli na mbunge wa CCM tayari. Cha ajabu Wakala wa chadema hapa nilipopigia kura mimi yéyé sio mpiga kura hakujiandikisha. Naapa mbele ya Mungu , sasa mtashindaje? Au mtashinda kwa matusi mitandaoni?
Fatilieni mtaona.
Bora na hii jamii forum Izimwe kwa muda . Tufanye kazi moja kwanza.
 
Endelea kukereka mkuu, WE ALSO DONT CARE how deep umekereka....
 
Familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki na huko wa kijijini wote na mtaani kwangu tumeshahamasishana, tunaenda chinja muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…