Uchaguzi 2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

Wapiga dili mmevumilia mpaka mmeona mtoe povu. Mlizoea kuzichota, sasa hamna mwanya mnatapatapa.

Kura yako hiyo moja haiwezi kumnyima ushindi. Kwanza inaweza kuwa ni kati ya zile zinazoharibika.
Ndomaana mnafeli. Kwanini mnapenda kuona watu ni wajinga sana kiasi kwamba hawana uelewa? Kama ni wapiga dili si muwatakatishie hela muwafunge kama kawaida yenu? Ukitaka kujua wewe ni mjinga ni pale unapoanza kujiona unajua kila kitu.
 
Duh Mzee Tupatupa, hii ni hatari sana kwa mgombea wetu kwasababu kura yako ndio the determinant vote ya kumfanya JPM arejee Ikulu kwa kushinda urais!.

Kama ingekuwa bila wewe kumpigia kura yako rais Magufuli, then hawezi kushinda urais, hapo tungekubembeleza na lukupigia magoti tuipate kura yako!, JPM ashinde, lakini kwa vile Watanzania wana macho yanaona na masikio wanasikia, wameona na wanasikia, wanajua wanataka nini na ni nani atawapatia wanachotala, hivyo hiyo October, wanajua wachague nini na wanamchagua nani.

Hivyo Mzee Mwenzangu Tupa Tupa, you can as well, just go to ... with your single, tiny, insignificant piece of sand kwenye ufukwe wetu wa mafuriko ya ushindi.
Wish you all the best!.
P
 
kile kitendo cha kupeleka International Airport tena kwa bajeti ya siri kiliniamsha..

sema tu nikimpigiaga kura mgombea ninayemtaka huwa hashindi...kwa hiyo basi nitampigia ili ashindwe kiukweli
 
Hela za Vitambulisho vya waajasiriamali zilikwenda wapi?? maana hazikukatiwa risiti za EFD ili zipelekwe HAZINA badala yake zimeenda kusikojulikana na hakuna wakuzi "audit" amelezama mapato ya LGAs
 
Hivi we imeshindikanaga kabisa kukumbukwa kwenye teuzi?
 
Nitampigia Kura yangu Magufuri kwani mwanzo watu na viongozi walifata taratibu,Sheria na kanuni na ndio muda tulioshuhudia pesa zilikuwa kama nzige wakivamia shamba la mahindi

Nadhani wewe ulikuwa mmojawapo wa Kula Mali za chama . Tutaelewana tu
 

kikomo chako ni wajumbe
 
Najuta 2015 kira zangu zote kuanzia ngazi za chini kupeleka upinzani.....nilipigia mbuzi zote hizo,


Kama siyo mpigji unapata pesa ya halali basi 5 tena kwa magu[emoji3]
 
Magu akishinda huu uchaguzi, 2025 hataachia ngazi
 
Tumepumbazwa kwamba Rais anatoa misaada, na sio jukumu la serikali tena ikisimamiwa na bunge.
Mtunza pesa mkuu mtoto wa dada anapokea maagizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…