Uchaguzi 2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

Walivyo waoga wamepunguza hadi vifurushi vya internet! yaani hii nchi inamajitu yaajabu kweli watu sisi vijana tumejiajiri kupitia internet chuki zao zakisiasa wanaumiza raia wasio na hatia! sasa wao bila kujali athari zake wao wanaona niheri kwao waendelee kushiba sisi tutajijua wenyewe. Alafu wakishiba utasikia serikali ya wanyonge inajali wanyonge, wanatusababishia umaskini ili waje watu joke??
 
Nimekuelewa sana na nimekuwa nikisoma posts zako toka enzi za JK. Wewe ni kweli siku zote na umejipambanua katika Jukwaa la JF kuwa wewe ni CCM damu.

Naamini kama uliye vaa kiatu unalalamika kuwa kinakubana, mimi ni nani nikubishie? Kama wewe hutampigia kura Magufuli sisi wengine tunaanzaje kumpigia huyo?

Naamini wewe VUTA-NKUVUTE kuwakilisha hisia na hali halisi ya wenye CCM wote ambao wameporwa na kusharauliwa na wanaojiita CCM Mpya.
 

Sasa mzee wangu Vuta Nikuvute, kama humkubali Magufuli mbona alipata kura 100%, ikiwemo na kura yako? Au yale matokeo yalichakachuliwa?
 
Hakuna sauti ya kumtoa Rais Magufuli mwaka huu , tusidanganywe na sauti za wale 'wapayukaji'
Kama hakuna sauti ya kumtoa Magufuli kwa nini unahangaika kupost hoja za kujibu? Kama "wanapayuka" wewe unaathirka vipi?
 
Na kwamba miradi ya maendeleo itaanz akwanza kwenye majimbo ya CCM.

This was very silly.
 
Akiandika ukweli ule mchungu ukawii kulaumu, napata wakati mgumu kujua wafuasi wa upinzani wanasimamia wapi linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi na yenye tija kwa vizazi vijavyo

Mimi ni CCM haswaa sio wa kubahatisha, niko ndani nimezama na kuzama. Ila fitina kwangu ni mwiko, nitasema kweli daima.

Ukishindwa kuheshimu katiba uliyoitumia kuapa kuisimamia, automatically inakuwa huwajibiki kwa wananchi bali kwa matakwa ya muongozo wa moyo wako.

Maslahi mapana ya nchi yanaanza na katiba na sheria za nchi, sio matamanio ya mtu na wapambe wake
 
Kama hakuna sauti ya kumtoa Magufuli kwa nini unahangaika kupost hoja za kujibu? Kama "wanapayuka" wewe unaathirka vipi?
Anajitia moyo. Anategemea nguvu za polisi tu ambao nao wameshashtuka. Wamembeba sana lakini habebeki.
 
Swadakta mimi ni mwanachadema. Lissu akiwa Rais akizingua lwa maswala ya katiba ya nchi nitamlipua tu. Haijalishi vipi.

Lazima tufike mahala tuheshimiane kama watanzania wa taifa moja.
 
Nimesoma maandiko haya na kurudia kuangalia ID yake,kwa kweli nimestaajabu sana sana ndugu Pascal Mayalla . Ni wewe kweli wa kutothamini kura moja?
Ni wewe kweli ya kumwambia mpiga kura kuwa kura yake ni "single, tiny, insignificant"!!??
Nimeamini kuwa CCM kwa sasa ni kuacha ubongo, akili, weledi, werevu, busara na utu wema kabatini nyumbani kwako. Pole sana.
 
Nimeshiriki chaguzi tangu Mkapa, sijawai kuchagua ccm! Mafuriko ya 2015 yalitaka kunikatisha tamaa, lakini Lisu ameniamsha tena!
 
Bora kura yangu nimpe Hashimu wanangu wale ubwabwa shuleni lakini sio Magufuli.
 
Mimi nikitakiwa kufa au kumpa kura yangu Magufuli, nitachagua kufa na hata ikibidi nifufuke halafu nife tena, nitakua tayari kuliko kumpa kura Magufuli.
 
Siwezi kumpa kura yangu huyu mpiga kelele ambae anaaminisha wajinga wenzake kwamba kutosafiri nje ya nchi ni uzalendo.......

Akili za kitoto kabisa hizi
 
Aise, umenigusa mno tena mno, ningepata contact details zako ningekutumia bando la mwezi kabisa.

Jukumu la kumsomesha mtoto wa elimu ya juu ni la serikali maanake ndio inahitaji watalaamu sasa mzazi tena anawajibikaje wakati yeye ahitaji mtaalamu nyumbani kwake?

Mzazi anahangaika hadi mtoto anahitimu kidato cha sita eti bado serikali anakwepa jukumu lake la kumsomesha kwa elimu ya juu na kumuachia tena mzazi huo msalaba wakati ni hiyo hiyo serikali ndio inahitaji watalaamu. This is very stupid indeed.

Serikali sampuli hii ni msalaba kwa wananchi na kamwe haiwezi kupita katika uchaguzi wowote bila kuiba kura. Never.
 
Aiseee sio Siri CCM Kuna watu wameumbukaje sana na hili jitu ,shamba ,jinga ,Rundi ,Hutu limetuletea mam o ya ajabu Sana nchini mwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…