Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Weekend Imekuwa ndefu

Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao

Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa

Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu

Basi me nikapita nikaenda zangu huku namtafakari, kwani kakutwa na nini tena?

Hata waendesha marange rover hamtaki kutoa vichwa kwa wapenzi wenu mnatakaje sasa?

Wenye passo na ist mnaotoa vichwa mje mtueleze why?
 
Weekend I.ekuwa ndefu

Nipo arusha festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao

Mean amajionea what happend when you become a full time simp, utavuna maumivu
 
Weekend I.ekuwa ndefu

Nipo arusha festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao

Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa

Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu

Basi me nikapita nikaenda zangu huku namtafakari, kwani kakutwa na nini tena?

Hata waendesha marange rover hamtaki kutoa vichwa kwa wapenzi wenu mnatakaje sasa?

Wenye passo na ist mnaotoa vichwa mje mtueleze why?
Uzi tayari.
Basi sawa
 
Back
Top Bottom