Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Weekend Imekuwa ndefu
Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao
Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa
Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu
Basi me nikapita nikaenda zangu huku namtafakari, kwani kakutwa na nini tena?
Hata waendesha marange rover hamtaki kutoa vichwa kwa wapenzi wenu mnatakaje sasa?
Wenye passo na ist mnaotoa vichwa mje mtueleze why?