Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
 
Haha tuone mkate mgumu mbele ya chai
 
Sitarajii kusikia au kuona ukikataa Uteuzi au kwenda Kuapishwa na Mamlaka.

Najua unayoyapitia na Machungu uliyonayo hasa baada ya Kutupwa ila Usigome.

Mamlaka huwa haibishiwi hata kama huipendi na una Bifu nayo ila yakupasa Kuitii.

Yanayokutokea sasa ni Matokeo ya Unafiki wako, Jeuri yako na Kujisahau Kwako.

Malawi wanalima mno Bangi nzuri hivyo ukienda jitahidi kujifunza inalimwa vipi ili ikiwezekana uje utoe Elimu kwa Watanzania ili tuilime kwa Kuiuza nje kama Uganda nchi iweze Kuingiza Kipato na hata Sisi Raia tuweze Kutajirika nayo japo tunakuahidi kuwa hatutoivuta kama ambavyo nawe pia huivuti na hujawahi Kuivuta.
 
Jiwe alimfanya Nchimbi hivyo hivyo akamtupa Brazil!! Afadhali hapo Malawi sio mbali sana anaweza kupanda basi akaja kuangalia miradi yake! Polepole alikuwa na mradi wa Uwakala wa mitandao ya Simu kule Bahari beach!!
 
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Huwa mnajipa kazi ya kumimina mioyo yenu kwenye mikono ya mwana siasa. Sijaona kwanini polepole agomee uteuzi. Mwanasiasa si mwenzio
 
Huwa mnajipa kazi ya kumimina mioyo yenu kwenye mikono ya mwana siasa. Sijaona kwanini polepole agomee uteuzi. Mwanasiasa si mwenzio
Tusubiri uapisho time tuone, baharia hayumbi alishaona haya kitambo na alishaamua msimamo mapema.
 
Back
Top Bottom