Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Kn hatua zozote anachukuliwa mtu akigomea uteuzi wa rais?
Sidhani kwani huo ni uhuru wa mtu, ila si vyema kukataa kutumiakia Taifa, lakini inategemea na vitendo vya chama kilichopo madarakani. Waweza kupata adhabu kiaina kutokana na chama kilichopo madarakani na serikali yake, hili laweza kutokea hasa kwenye nchi za uongozi wa kiimla, mchanganyiko wa kiimla na kidemokrasia, zinazoendelea, na kusini mwa jangwa la sahara!
 
haita tafsiriwa kuwa umedharau mamlaka ya rais na uteuzi? Ukaadhibiwa kwa hilo?
 
Hii ndio Serikali ya CCM ukipiga kelele sana wanajua ni njaa wanakupa kazi
Unanyamaza. Sasa ona kama atafungua Tena chuo Cha uongozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haki ya kukataa anayo naatabaki kuwa mbunge kwa sababu vigezo vya mtu kutolewa ubunge vipo kikatiba sio matakwa ya mtu binafsi.
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
giphy.gif
 
Sitarajii kusikia au kuona ukikataa Uteuzi au kwenda Kuapishwa na Mamlaka.

Najua unayoyapitia na Machungu uliyonayo hasa baada ya Kutupwa ila Usigome.

Mamlaka huwa haibishiwi hata kama huipendi na una Bifu nayo ila yakupasa Kuitii.

Yanayokutokea sasa ni Matokeo ya Unafiki wako, Jeuri yako na Kujisahau Kwako.

Malawi wanalima mno Bangi nzuri hivyo ukienda jitahidi kujifunza inalimwa vipi ili ikiwezekana uje utoe Elimu kwa Watanzania ili tuilime kwa Kuiuza nje kama Uganda nchi iweze Kuingiza Kipato na hata Sisi Raia tuweze Kutajirika nayo japo tunakuahidi kuwa hatutoivuta kama ambavyo nawe pia huivuti na hujawahi Kuivuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom