Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Atamuenzi akiwa na njaa ?
 
KWA HIYO MTOA POSTI UNATAKA AMUONYESHE RAIS KIBURI, ATAKAPO FANYA HIVYO ATAJIMALIZA MA ZIMA.
Note my words.
 
Kumbuka bado siku mbili itimie mwaka tangu President jpm alipo fariki point yangu ipo hapo nahisi utaelewa.
 
514c23f5-b038-4303-87bd-2f3b65461f4c.jpg
 
Ametegwa kuna mambo mawili hapa:
  1. Lengo ni kumwondoa kwenye ubunge kijanja, je anaondolewaje? Kama alishiriki mipango haramu ya kuwaumiza wenzake, basi ujanja huohuo unatumika kumwondoa yeye, hapa akikataa hatakuwa amemkomoa au kumuaibisha kiongozi ila hicho atakachofanya ndicho wenzake walikusudia kiwe, hawakutaka kumwondoa kwa aibu. (Tengua uteuzi)
  2. Amepelekwa ubalozi wa nchi inayochanja dhidi ya covid19 ambayo yeye si muumini wake, akienda atalazimika kuchanja na atakuwa amesaliti msimamo wake, asipokwenda ndiyo furaha ya wateuzi kwakuwa atachomoka kwenye mfumo, kwahiyo kilichofanyika ni kucheza na akili yake

Mfano akikataa kuapishwa ubalozi wake wa kuteuliwa unaweza kutenguliwa??

Dah! Ubalozi malawi🤣🤣 akufukuzae hakuambiii....

Polepele kazi kwako
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Kwenye swala la uapisho nafasi nyeti huwa wanafanya vetting …Nadhani polepole alikua anajua kabla yetu unless otherwise
 
haita tafsiriwa kuwa umedharau mamlaka ya rais na uteuzi? Ukaadhibiwa kwa hilo?
ccm uanachama wake sio shuruti anaweza akajivua uanachama kisha ndio akakataa au akagomea uapisho. Anaishi kwa kujiandaa na mbingu kuliko ufalme wa dunia. Mark my words, hata akiapa atajiuzulu kabla ya kwenda Malawi amini hilo polepole haendi Malawi. Wamemfanyia kebehi ya makusudi na yeye anajua na hakubali huo ujinga wao.
 
Ametegwa kuna mambo mawili hapa:
  1. Lengo ni kumwondoa kwenye ubunge kijanja, je anaondolewaje? Kama alishiriki mipango haramu ya kuwaumiza wenzake, basi ujanja huohuo unatumika kumwondoa yeye, hapa akikataa hatakuwa amemkomoa au kumuaibisha kiongozi ila hicho atakachofanya ndicho wenzake walikusudia kiwe, hawakutaka kumwondoa kwa aibu. (Tengua uteuzi)
  2. Amepelekwa ubalozi wa nchi inayochanja dhidi ya covid19 ambayo yeye si muumini wake, akienda atalazimika kuchanja na atakuwa amesaliti msimamo wake, asipokwenda ndiyo furaha ya wateuzi kwakuwa atachomoka kwenye mfumo, kwahiyo kilichofanyika ni kucheza na akili yake

Polepole angeondoa mambo aliyofanya kwa mwendazake ni kiongozi mzuri lakini sasa yale aliyoyafanya enzi zile za V8 acha apate tu anastahili haya haitaji huruma
 
Kwenye swala la uapisho nafasi nyeti huwa wanafanya vetting …Nadhani polepole alikua anajua kabla yetu unless otherwise
Uteuzi huu ni kebehi na dharau zenye hila fulani ambazo zitaenda kufuatana
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Huuu Uzi utaufuta kabla ya kuteuliwa kaitwa na kasaini agreement uteuzi haufanyikagi kwa kukurupuka Kila kiutu kinakuwa kimeandaliwa
 
Ila wafuasi wa jiwe mnaongoza kwa roho mbaya sana.

Mna ubinafsi mwingi, ukabila na ujiwe kwa sana.

Halafu hamueleweki mnataka nini haswa
 
Huuu Uzi utaufuta kabla ya kuteuliwa kaitwa na kasaini agreement uteuzi haufanyikagi kwa kukurupuka Kila kiutu kinakuwa kimeandaliwa
hizi zama za upupu lolote vuluvululu tu hii yake ni mkomoo au mkomoeni
 
Amepangiwa malawi wakati huko huko kuna balozi mwingine ina maana atakaa benchi akisubiri
 
Back
Top Bottom