Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Kwani ubalozi sio kazi mpaka akatae?? Huyo aliyempa ubunge akakubali haikuitwa uhuni au kunyamazishwa na ndo huyo huyo kaona slow slow anafaaa kwenda kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia huko Malawi, kama ni shule ya ungozi huko pia wapo wanahitaji hiyo kozi atapata wanafunzi wapya, aende tuu
 
Unayeyuka
Kataa wahuni ameapishwa
Screenshot_20220315-104754_Instagram.jpg
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Muhuni wako ameapishwa
Screenshot_20220315-104754_Instagram.jpg
 
Mwanzia uzi ,njaa haijawahi kua na adabu na wanasiasa wa Tanzania sio wa kuwaamini kabisa mwamba Polepole ashaapa na mjini Lilongwe atakwenda ,usije shangaa ata Makonda anapata Teuzi tena awamu hii.
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Muwage na akiba ya maneno

Kingine usimuweke mdhamana Mwanasiasa

Hivi nyie bado mnawaamini

Ova
 
Kuna mvundo mmbaya sana kwenye hili. Hata uvunjajibwa katiba.
Humprey PolePole.
kwa taadhima uombe kukataa uteuzi huu wa chuki na kutaka kukunyamazisha. Huo Ubalozi sisi wananchi tunataka uwe BALOZI WA MAGUFULI na Afrika na sio kwenda kwenye tundu hili la sindano.

Gaucho, #BALOZIWA MAGUFULIFICATIONNASIOWAWAHUNI.
Aluta Continua
Ni zamu yako sasa na wewe kutumia majina yako matatu kumpigania.
 
Kampeni ya Kukataa Wahuni Tanzania ndio itakuwa imeishia hapa sasa...Poleni sana wote mliokuwa mnakataa wahuni Tanzania..
Kibaya zaidi wahuni wanaenda kumpa darasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220315-110409_Instagram.jpg
 
Kampeni ya Kukataa Wahuni Tanzania ndio itakuwa imeishia hapa sasa...Poleni sana wote mliokuwa mnakataa wahuni Tanzania..
Wahuni watu wabaya sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220315-111145_Instagram.jpg
Screenshot_20220315-111100_Instagram.jpg
 
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.

Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.

Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.

Malawi aende muhuni mwenzao.

Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?

Why now? Why this week? How?

Tusubiri kukuche!
Pole ameshakula kiapo kudadeki
 
Back
Top Bottom