Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mbona huna msimamo? Mara haendi kuapishwa mara hata akiapishwa atajiuzulu.ccm uanachama wake sio shuruti anaweza akajivua uanachama kisha ndio akakataa au akagomea uapisho. Anaishi kwa kujiandaa na mbingu kuliko ufalme wa dunia. Mark my words, hata akiapa atajiuzulu kabla ya kwenda Malawi amini hilo polepole haendi Malawi. Wamemfanyia kebehi ya makusudi na yeye anajua na hakubali huo ujinga wao.
Sasa kama ana msimamo thabiti kwanini asikatae moja kwa moja kuapishwa ili imani yake kwa wanaomuunga mkono iongezeke mara dufu?