Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mliifungia.Nani ataendeleza shule ya uongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliifungia.Nani ataendeleza shule ya uongozi?
Kumbe ndo maana alikuwa analia na tozo za mitandao ya simu kila uchao. Kamisheni iliyumba.Polepole alikuwa na mradi wa Uwakala wa mitandao ya Simu kule Bahari beach!!
Mm furaha yangu ni Mungu kutuondolea Magufuli
I bet Polepole hakupewa taarifa. Hii ni strategy ya kumuondoa Polepole bungeni. Maana hawakuwa na namna nyingine yoyote ya kumnyang'anya ubunge isipokuwa kumpa uteuzi wa aina hii
ushauri mzuri sana huu pia asisahau kwenda na yale mafuta yake pendwa 🤣🤣Malawi wanalima mno Bangi nzuri hivyo ukienda jitahidi kujifunza inalimwa vipi ili ikiwezekana uje utoe Elimu kwa Watanzania ili tuilime kwa Kuiuza nje kama Uganda nchi iweze Kuingiza Kipato na hata Sisi Raia tuweze Kutajirika nayo japo tunakuahidi kuwa hatutoivuta kama ambavyo nawe pia huivuti na hujawahi Kuivuta.
Mliifungia.
Kwani Rais na wasaidizi wake wakati wanamteuwa kuwa mbunge hawakujua kama hakuna namna ya kumnyang'anya ubunge hadi waanze kuhaha leo?I bet Polepole hakupewa taarifa. Hii ni strategy ya kumuondoa Polepole bungeni. Maana hawakuwa na namna nyingine yoyote ya kumnyang'anya ubunge isipokuwa kumpa uteuzi wa aina hii
Endeleeni kupiga mtori. Nyama mtazikuta chininafasi yake kapewa mzanzibar vuai
Umejuaje wanahaha?Kwani Rais na wasaidizi wake wakati wanamteuwa kuwa mbunge hawakujua kama hakuna namna ya kumnyang'anya ubunge hadi waanze kuhaha leo?