Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
UyoleVipi upo Soweto au Isyesye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UyoleVipi upo Soweto au Isyesye?
Nsalaga, kati au igawilo, vimisonge?!! Karibu huku Dodoma maeneo ya MipangoUyole
Njia pandaNsalaga, kati au igawilo, vimisonge?!! Karibu huku Dodoma maeneo ya Mipango
Ametegwa kuna mambo mawili hapa:Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi aende muhuni mwenzao.
Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?
Why now? Why this week? How?
Tusubiri kukuche!
Thubutu Njaa Haina baunsa.Mwamba haendi Kuapishwa I tell you subiri kukuche uone. Akienda ataapishwa kisha atajiulu kabla hajaenda Malawi.
Akamuulize Ndugai nini kinaweza kumfuataAtakataa kweli?Okay!
Mm furaha yangu ni Mungu kutuondolea MagufuliTunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi aende muhuni mwenzao.
Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?
Why now? Why this week? How?
Tusubiri kukuche!
Wacha weye!Hupendi "regase"?Mm furaha yangu ni Mungu kutuondolea Magufuli
Karma is realAmetegwa kuna mambo mawili hapa:
- Lengo ni kumwondoa kwenye ubunge kijanja, je anaondolewaje? Kama alishiriki mipango haramu ya kuwaumiza wenzake, basi ujanja huohuo unatumika kumwondoa yeye, hapa akikataa hatakuwa amemkomoa au kumuaibisha kiongozi ila hicho atakachofanya ndicho wenzake walikusudia kiwe, hawakutaka kumwondoa kwa aibu. (Tengua uteuzi)
- Amepelekwa ubalozi wa nchi inayochanja dhidi ya covid19 ambayo yeye si muumini wake, akienda atalazimika kuchanja na atakuwa amesaliti msimamo wake, asipokwenda ndiyo furaha ya wateuzi kwakuwa atachomoka kwenye mfumo, kwahiyo kilichofanyika ni kucheza na akili yake
![]()
Crisis24 Risk Alerts | Crisis24
Get timely risk intelligence on threats to your people and operations from Crisis24.crisis24.garda.com
![]()
Travel Advice | Malawi Tourism
Information and travel advice you may require for your trip to Malawi, including health and safety, food and drink advice, currency, language guide, and more.www.malawitourism.com
Hana Ubavu wa kukataaa, Magufuli ni marehemu yeye ni nani apinge. Skate kwenda apelekwe aapishiwe hata chumbani pre recorded taaapa tuTunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi aende muhuni mwenzao.
Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?
Why now? Why this week? How?
Tusubiri kukuche!
Kwani jamaaa hajafikisha 60?Being an ambassador at that age too sarcastic really.
Nimewaza na kufikiri kama wewe lakini sijuiTunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi aende muhuni mwenzao.
Je, kaka atamuenzi Magufuli? Je hatagundua umakusudi huu na hasa wiki ya kuazimisha kifo cha Mwamba Magufuli?
Why now? Why this week? How?
Tusubiri kukuche!
nyie wahuni mnahunika sasaHana Ubavu wa kukataaa, Magufuli ni marehemu yeye ni nani apinge. Skate kwenda apelekwe aapishiwe hata chumbani pre recorded taaapa tu
Tuombe duaNimewaza na kufikiri kama wewe lakini sijui
Yuko below 50Kwani jamaaa hajafikisha 60?
Mbona unamsemea kuwa haivuti wakati hauishi naye!Sitarajii kusikia au kuona ukikataa Uteuzi au kwenda Kuapishwa na Mamlaka.
Najua unayoyapitia na Machungu uliyonayo hasa baada ya Kutupwa ila Usigome.
Mamlaka huwa haibishiwi hata kama huipendi na una Bifu nayo ila yakupasa Kuitii.
Yanayokutokea sasa ni Matokeo ya Unafiki wako, Jeuri yako na Kujisahau Kwako.
Malawi wanalima mno Bangi nzuri hivyo ukienda jitahidi kujifunza inalimwa vipi ili ikiwezekana uje utoe Elimu kwa Watanzania ili tuilime kwa Kuiuza nje kama Uganda nchi iweze Kuingiza Kipato na hata Sisi Raia tuweze Kutajirika nayo japo tunakuahidi kuwa hatutoivuta kama ambavyo nawe pia huivuti na hujawahi Kuivuta.