Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Kesha apishwa na anapelekwa darasani kufunzwa diplomasia.
Hujui siasa na wanasiasa wa bongo wewe.
 
Pole pole kaapa NJAA mbaya sana
 
Mkuu anzisheni dhehebu Hayati awe nabii wenu.
Maana mtu ashafariki maisha inabidi yaendelee. Hamtaki aliyeshika usukani aongoze nchi kwa maono yake?
 
Ukiwa mwanasiasa Tanzania lazima uwe mnafiki sana, muongo muongo na zaidi uuminye ule msipa wa aibu hadi ulegee.... Ukiweza hilo, Voila!!.... Ni mwendo wa kujichekesha chekesha kuelekea benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…