Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

Mtumikie kafiri upate wako mtaji ,kwa kipindi kile ilikuwa hakuna jinsi maana JIWE angempoteza kwenye ramani ya kisiasa na bado alikuwa bado hajajipanga vizuri kama wenzake kina kinana au membe ambao tayari wana ukwasi wasingeweza kulamba miguu ya JIWE.
 
Hata Kinana aliomba msamaha
 
Ujue usimwamini mtu zaidi ya mama yako aliyekuzaa.
Si kweli. Dunia imejaa stori za kina mama waliouza au kulaghai Mabinti zao kwa watu wabaya au hata kuwaharibia “nyumba” zao.

In any case, unafiki wa aina ya Nape unaeleweka sana Tanzania. Ndio mtindo wa maisha kwa wote “waliofanikiwa” huko CCM. Tafuta “aliyeukata” kwenye nafasi ya kisiasa serikalini bila kutumia unafiki. Unafiki halisi ni kule kujidai kumshangaa Nape.
 
Ganzi ya nini sasa?
Nape ni Nape, na wewe ni wewe. Nyie ni watu wawili tofauti.
A world where everyone thinks the same would be nothing!
 
Ganzi ya nini sasa?
Nape ni Nape, na wewe ni wewe. Nyie ni watu wawili tofauti.
A world where everyone thinks the same would be nothing!
Lakini si tulijadiliana mkuu
 
Magu alipenda sana kusujudiwa..alichomfanyia nape si kitendo kizuri kwa kweli..

Sema tu binadamu tumeubwa kusahau.
 
Dah mzee kaeleza kabisa "labda akengeuke mwenyewe huko mbele". Naona kaamua kukengeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…