Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha haMbona Membe hakutumiwa?
unauliza jibu kwa kachero mbobezi anayejulikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haMbona Membe hakutumiwa?
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
Jamaa si alikua jasus namba moko???walimfanyafanyajeMkuu ulitaka mpaka atumiwe watu wasiojulikana?
Kilichomtokea mlokole Kapilimba kwani wewe hujui?
Bora walifanya hivyo maana Nape ni mnafiki angekataa kuwa hajawahi kuomba msamaha
CCM kumejaa matapeli tupuHapa ndio Pazuri...Nimecheka sana sana [emoji851][emoji851][emoji2957][emoji2957][emoji1][emoji1][emoji2]Aiseee
Cc: johnthebaptist
Muulize mtoa mada, anajua!Jamaa si alikua jasus namba moko???walimfanyafanyaje
Si kweli. Dunia imejaa stori za kina mama waliouza au kulaghai Mabinti zao kwa watu wabaya au hata kuwaharibia “nyumba” zao.Ujue usimwamini mtu zaidi ya mama yako aliyekuzaa.
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
CCM wote ni walewaleNape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!
Wewe una upungufu fulani wa lishe ya kuufanya ubongo uwe strong, embu nione chap nikusaidie kabla haujaharibikiwa zaidiNape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!
Ufipa ndio walimtuma Nape kuomba msamahaUfipa ni wapumbavu kwelikweli
Kundi la kuto kuaminiwa mkuu
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
Wewe ni mnafiki sana. JirekebisheNape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!