Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

huyu dogo angefika mbali sana kama angepanga karata zake vizuri.
angeweza kuwa hata waziri mkuu miaka ijayo kwakuwa alifanikiwa kuwaadaa watu kuwa yeye ni mzalendo. alichotakiwa ni kutulia tu na hasa baada ya kuomba msamaha na baada ya kurudishwa hakuwa na sababu ya kuongea maneno ya shombo juu ya rais aliye mtengua.
angeendelea kupiga kazi akipunguza mbwembwe na watu wangemwamini. amwangalie kijana mwenzake anaelewa wazi kabisa watu hawampendi na yupo kwaajili ya nguvu ya baba yake lakini alichofanya ameamua kujishusha na kuwa kimya labda aonekane katika utendaji ili siku zijazo hata mshua anapokuwa ameondoka basi watu wafumbe macho waendelee kumsaidia kwa kumuweka kwenye madaraka.
ameshaanza sakafu yake wacha akimbie tuone mwisho wa sakafu yake.
 
hata nape kateuliwa sema tu alizingua kukosa msimamo anachokisimamia...
Njaa mbaya ndugu yangu, inasemekana shujaa alihakikisha familia imetapakaa njaa, ikabidi jamaa fanye alichofanya.
Hao jamaa ukiondoa nafasi za kisiasa hizo labda aimbe kwaya.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
huyu dogo angefika mbali sana kama angepanga karata zake vizuri.
angeweza kuwa hata waziri mkuu miaka ijayo kwakuwa alifanikiwa kuwaadaa watu kuwa yeye ni mzalendo. alichotakiwa ni kutulia tu na hasa baada ya kuomba msamaha na baada ya kurudishwa hakuwa na sababu ya kuongea maneno ya shombo juu ya rais aliye mtengua.
angeendelea kupiga kazi akipunguza mbwembwe na watu wangemwamini. amwangalie kijana mwenzake anaelewa wazi kabisa watu hawampendi na yupo kwaajili ya nguvu ya baba yake lakini alichofanya ameamua kujishusha na kuwa kimya labda aonekane katika utendaji ili siku zijazo hata mshua anapokuwa ameondoka basi watu wafumbe macho waendelee kumsaidia kwa kumuweka kwenye madaraka.
ameshaanza sakafu yake wacha akimbie tuone mwisho wa sakafu yake.
Umetoa ushauri wa maana sana
 
Lile jamaa lilikuwa liuwaji lazima Nape awe vile.
Akina Absalom Kibanda waling'olewa meno katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika? Hilo jina la Mapwepande tumelijua baada ya watu kutekwa,kuteswa na kutupwa huko katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika? Husikii Kikwete akinyooshewa kidole kwa kuwateka, kuwatesa na kuwatupa porini akina Dr. Ulimboka lkn issue imekuwa ni Mwamba au kwa vile hayupo Duniani ndo maana mnapambana naye. Ukiona mtu anapambana na asiyekuwa na uwezo wa kumjibu jua mtu huyo ni dhaifu kimawazo na ni mtu wa kujipendekeza kwa walio hai
 
Akina Absalom Kibanda waling'olewa meno katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika? Hilo jina la Mapwepande tumelijua baada ya watu kutekwa,kuteswa na kutupwa huko katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika?
Mkumbushe huyo nyumbu
 
Mkumbushe huyo nyumbu
Ngoja tuyafukue makaburi sasa maana hayo ndo wanayatafuta, leo hii waandishi wa habari akina Balile wamepoteza kabisa haiba yao wamebaki kujipendekeza na kupokea bahasha toka kwa mama tena kwa masimango ya kutangazwa, hapo utasema waandishi wataikosoa serikali kwa mabaya inayowatendea wananchi?
 
Ngoja tuyafukue makaburi sasa maana hayo ndo wanayatafuta, leo hii waandishi wa habari akina Balile wamepoteza kabisa haiba yao wamebaki kujipendekeza na kupokea bahasha toka kwa mama tena kwa masimango ya kutangazwa, hapo utasema waandishi wataikosoa serikali kwa mabaya inayowatendea wananchi?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Akina Absalom Kibanda waling'olewa meno katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika? Hilo jina la Mapwepande tumelijua baada ya watu kutekwa,kuteswa na kutupwa huko katika utawala wa Kikwete, je Magufuli alihusika? Husikii Kikwete akinyooshewa kidole kwa kuwateka, kuwatesa na kuwatupa porini akina Dr. Ulimboka lkn issue imekuwa ni Mwamba au kwa vile hayupo Duniani ndo maana mnapambana naye. Ukiona mtu anapambana na asiyekuwa na uwezo wa kumjibu jua mtu huyo ni dhaifu kimawazo na ni mtu wa kujipendekeza kwa walio hai
You nailed it !!
 
Back
Top Bottom