Vitafunwa vyaja yakheNipo hapa nasubiri na vitafunwa.
Furaha ni kulewa na marafiki....Furaha, ni kuwa na marafiki...
🎵🎵Sisi ni waleeeviii.....Furaha, ni kuwa na marafiki...
Unaijua Tanzania ?Huo ni ufunguo wa strong room kijana, wa kuingia benki anashika mwingine. Hii ni chai wala haina tangawizi?